FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,169
- 13,455
Kwenye simu zinaonekana 5 tu ila kwa PC zinaonyesha zote..oya hizo idadi ya likes unaangalia vipi? Maana huwa zinaonesha tano tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye simu zinaonekana 5 tu ila kwa PC zinaonyesha zote..oya hizo idadi ya likes unaangalia vipi? Maana huwa zinaonesha tano tu
hahahahahahaha huyu dogo ni kama ana ukichaa fulani... Nadhani huko aliko hana marafiki, no outing, no nothing. Ni JF ndiyo inamkeep company. Ndio maana anajitangazia dhahiri ana maadui humu. His life is all about JF dramas.Anachokosea anasahau unandishi anaotumia kwenye ID moja ndio huo huo anautumia kwa ID nyingine
Huyu ni mtu mmoja sasa sijui motive yake ni nini kujitukana na kujijibu mbaya zaidi anayemtukana ni mama yake mzazi
hahahahahaha Jamaa una mambo ya kitoto sana wewe... Sasa kujiongelesha mwenyewe na kujijibu ili iweje??
Hivi ni lini utakuwa we dogo???
hahaha! Mkuu una kesi ya kujibu kwa kunivunja mbavu zangu walai!hahahahahahaha huyu dogo ni kama ana ukichaa fulani... Nadhani huko aliko hana marafiki, no outing, no nothing. Ni JF ndiyo inamkeep company. Ndio maana anajitangazia dhahiri ana maadui humu. His life is all about JF dramas.
Sasa leo ndio ananiacha hoi, kujitukana na kujijibu mwenyewe.. Ana multiple ID's mpaka nyingine ni za kike.. Kuna wakati anajifanya mwanamke kabisa na waweza fikiri hivyo. Hii habari ya kujichatisha na kujijibu mwenyewe ni kawaida yake kabisa.. Huwa anafanya hivyo kwa ID zake kadhaa ili watu wamwone ni Mmarekani na anajua kingrezaa..
USA Baby ana pesa na yeye na Bi mdogo wake huwa wanavaa designer clothes za Ralph Lauren. That's the moral of the story sir.the moral of story???
Sentensi moja lakini umetumia lugha tatu. Safi sana mkuu. Kujua malugha mengi kuna faida yake aisee [emoji23][emoji23][emoji23]Tena sio mnyantuzu ni ng'wanamweli kalifumila Ng'wanza though she was born in Shy
Ni kweli jamaa ana id zaidi ya 2 ana comment na kujitukana yeye mwenyewe! Inaonekana jamaa ana matatizo ya akili au ana msongo wa mawazo, au maisha kwake yanaonekana yamemtaiti sana! Awaone wataalam wa saikologia wanaweza kumsaidia!!hahahahahaha Jamaa una mambo ya kitoto sana wewe... Sasa kujiongelesha mwenyewe na kujijibu ili iweje??
Hivi ni lini utakuwa we dogo???
HahahahaSentensi moja lakini umetumia lugha tatu. Safi sana mkuu. Kujua malugha mengi kuna faida yake aisee [emoji23][emoji23][emoji23]
Asubiri black friday it will be soon.Sema wee na kaka poa mkiwa mnajivinjari katika harakati za fall window shopping. Ma Gay mnajulikana kwa kujisifu. Ukweli ni kuwa una pesa ya kununua HEAVILY discounted Ralph Lauren hat na soksi tu dizaini ya 75% off original price.
Wee una id ngapi hapa jf umekuja na hii tena unaanza kujireply mwenye kama kichaa!Asubiri black friday it will be soon.
Asubiri black friday it will be soon.
Hahaha! dahAjipendekeze kwako una nini we choko?
Hehehehe mkuu Ngabu hakuvunji mbavu na hizi sarakasi zake... You knooooo waraaaa amsayiiingihahaha! Mkuu una kesi ya kujibu kwa kunivunja mbavu zangu walai!
Matatizo ya akili na msongo wa mawazo.Ni kweli jamaa ana id zaidi ya 2 ana comment na kujitukana yeye mwenyewe! Inaonekana jamaa ana matatizo ya akili au ana msongo wa mawazo, au maisha kwake yanaonekana yamemtaiti sana! Awaone wataalam wa saikologia wanaweza kumsaidia!!
Yaani ni sawa na kumfuma kibaka na kusepa nae kimya kimya!Hehehehe mkuu Ngabu hakuvunji mbavu na hizi sarakasi zake... You knooooo waraaaa amsayiiingi
Kumbe na wewe umeona! Ngabu kuna watu anawanyima usingizi humu.USA Baby ana pesa na yeye na Bi mdogo wake huwa wanavaa designer clothes za Ralph Lauren. That's the moral of the story sir.
Nina Id moja. Kama unaishi US unajua kuwa baada ya Halloween kuna black friday ambayo watu hata asiyeenda shop atakwenda hasa low income people. Kama hujaishi US keep quite. Mimi siyo huyo unayemhisi. Am me and will be me until I seize to be a member in JF.Wee una id ngapi hapa jf umekuja na hii tena unaanza kujireply mwenye kama kichaa!
Sio tu nawanyima usingizi. Ni kwamba Ngabu kayatawala mawazo yao hadi wanakuwa wanadhani kila anayepost humu na kunitukana eti ndo mimi mwenyewe.Kumbe na wewe umeona! Ngabu kuna watu anawanyima usingizi humu.
Halafu we jamaa si ndo unadaiwa kuwa ni mimi...au?Same fag, same b.itch 10 years down the road. Why bother?