Mdada wa watu kakualika ukale futari alafu wewe unabeba kondomu na mkongo

Mada wanazozipenda wanaJF.

TEGEMEA KUPATA WACHANGIAJI LUKUKI.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
kwa mujibu wa mafundisho ya UISLAM huyo dada ana makosa kwa kuwa mwanamke haruhusiwi kukaa na mwanaume bila ya uwepo wa jamaa yake na mwanamke kinyume na hapo huyo mbeba ndom na mkongo yuko sahihi maana kaalikwa na mzinifu mwenzie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…