Mdahalo: Mwanamke "kujua sana" ni "negative" kwake?

Mwanakijiji mimi huwa namsoma kwa jicho la tatu na kumsikiliza kwa sikio la tatu.

Hiyo "kujua sana" aliiwekea alama za nukuu. Unadhani alikuwa anazungumzia general knowledge?
 
Mwanakijiji mimi huwa namsoma kwa jicho la tatu na kumsikiliza kwa sikio la tatu.

Hiyo "kujua sana" aliiwekea alama za nukuu. Unadhani alikuwa anazungumzia general knowledge?
Hahahahaha, nimekuelea sasa. Ngoja nisubiri wanaume wajibu. Thanks for the highlight.
 
a. Amejifunza wapi?
b. Amejifunza kwa wangapi?
c. Itakuwaje kama sifikii kiwango chake?
d. Itakuwaje kama ataniona mshamba?
n.k nk

Matokeo yake ni kuwa mwanamke inabidi ajifanye hajui! Sasa hilo nalo ni zuri kwenye mahusiano?​

kwenye hizo Bold..ukifuatilia sana utaumiza kichwa
 
Kujua sana ndio mpango mzima bana as long as ujuzi wake hatoi tuition nje .
 
Hapo diplomasia ikashindikana hata ngumi inatumika. Kueleza tunachojua ni kitu kigumu sana mana naweza eleza ikaonekana naleta ujuaji
 
Angalia swali b uone alivyoliuliza....
Well, mi nilichukulia tu general knoweldge, kwa maana ya kwamba mwanaume anaweza kuona vibaya kama mke wake ana ujuzi fulani to some specific matters ambazo yeye hana. In some way this is exactly what he meant, but probably narrowed down to a specific type of knowledge. So what was your answer?
 
Mtu unataka pilau,lakini hutaki mpishi?
Lakini unataka pilau
Loh
Wanaume bwana? Ndo maana huwa tunaishia kuwaambia ujue diawewe ni mwanaume wangu wa pili tu, kumbe chain inaanzia dar-mwanza
uzuri haina meter useme itasoma unit

Yaani umenifanya nitabasamu
Kweli kabisa tunadanganywa sana na wakati wa uchumba mambo yanaendeshwa taratibu as if mshamba hajui kitu
Ila siku ya siku unakuja umeondoka na mtu anayeijua ramani nzima ya tanzania
Yaani mambo yake ni super mbaya
 
Mwanakijiji's posts in MMU are always cryptic.

To me question b is very telling as to what/where he was getting at. "Amejifunza kwa wangapi?" Hahahaaaaa
 
To me question b is very telling as to what/where he was getting at. "Amejifunza kwa wangapi?" Hahahaaaaa

dah...tena ukianzia..primary,secondary,chuo,mitaa,kazini...mpaka kwako...
 
Mwanakijiji's posts in MMU are always cryptic.

To me question b is very telling as to what/where he was getting at. "Amejifunza kwa wangapi?" Hahahaaaaa
This is unfair. Kama alikutana na a single guru who initiated her to everything? Or what if she learned from her shogaz? some women share those intimate details bwana! They also learn from the media.
 
This is unfair. Kama alikutana na a single guru who initiated her to everything? Or what if she learned from her shogaz? some women share those intimate details bwana! They also learn from the media.

By media you mean porn?
 
mjuaji wa nini??? maana kuna mengi............
 
By media you mean porn?
Hahahahaha, not limited to. I also mean books, TV shows etc. Porn is not the best way to learn about these things, I am afraid. Hasa kama unaifanya kua exclusive source of knowledge.
 
Hahahahaha, not limited to. I also mean books, TV shows etc. Porn is not the best way to learn about these things, I am afraid. Hasa kama unaifanya kua exclusive source of knowledge.

But you know porn is not just limited to movies, right? Pictures, magazines, books, etc., that show or describe naked people or sex in a very open and direct way in order to cause sexual excitement are also considered porn.
 
Bora toka mwanzo aonekana "anajua sana" kuliko ugundue ni "mtaro"...
Yes!! Inakuwa negative kwake, sitokuwa comfortable nitajiuliza hayo (a) mpaka (d) na kuendelea mpaka (z) matokeo yake nitaishia kumwacha. Nisingependa kujihisi inferior + less knowledgeable + unexperienced na zaidi nisiyeweza kumsatisfy.... hawa bwana huwa wanaweza "kufeki" ukaona haswaaa kumbe kaboeka mda mrefu....

However, nikipata yule "kitu na box" + "full manjonjo" najaribu sana kuwamaintain. Though, wanaume tusisaliti familia kwa ajili ya kimada, hawa ni wa mda tu...
 
But you know porn is not just limited to movies, right? Pictures, magazines, books, etc., that show or describe naked people or sex in a very open and direct way in order to cause sexual excitement are also considered porn.
I know. I meant the other range of educative sources. Pia kuna pornographic and erotic material. Zote zina qualify hapo bold (I think) but kuna tofauti kubwa.
 
Ngoja ninogeshe kidogo; binti kaanza "kujua" akiwa na miaka 13 (darasa la sita shule ya msingi), akaenda sekondari "akajua zaidi" na alipoenda A level "akajua tena na tena". Akapata nafasi ya kwenda chuo akagraduate siyo digrii tu bali na "kujua zaidi". Huko kote akakutana na "vichaa wenzake" wakampa elimu ya nadharia na kumchochea kujaribu kwa vitendo; binti akajua na zaidi ya kujua lakini ukimuona ni mkimya, mtaratibu, mcheshi na hana mwelekeo "wa mjuaji".

Sasa wewe jibaba unakutana na binti anamiaka 26 au 27 anakuonea aibu hadi unasikizia kiu! Anakuzungusha kwa kukutamanisha na mwisho wa siku anaamua "kukugea". Hakupi vyote though ana kuacha uhangaike na gari kuliwasha.... kumbe hujui mwenzio anakulia timing!!

Ngoja aje akufyatukie siku hiyo....

Mwisho unaanza "hivi umekuwa na wangapi?".....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…