Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
What I mean is wanaume hawapendi wanawake wanao 'jua sana' because they display their knowledge in an unpleasant way (making their interlocutor look ignorant). But mwanake akiwa na ujuzi mkubwa bila kua na hiyo tabia it is not unpleasant to men. If I missed something naomba unieleweshe tafadhali.
Mwanakijiji mimi huwa namsoma kwa jicho la tatu na kumsikiliza kwa sikio la tatu.
Hiyo "kujua sana" aliiwekea alama za nukuu. Unadhani alikuwa anazungumzia general knowledge?