Babu la Bara
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 529
- 575
Sijui ni kasumba yetu au ni kutoelewa kqetu watz. Tumekuwa watu wa kulalamika sana na kiasi kikubwa bila kushirikisha akili zetu. Na sehemu kubwa ya malalamiko yanaelekezwa serikalini. Natambua na ni kweli kwa namna moja au nyingine matatizo yanaanzia serikalini, lakini mnadhani serikali au mihimili mi3 ya nchi inaundwa na ma-engineer au social au kada sio za sheria pekee? Hakuna wanasheria? Kwa taarifa yako more than 50% ya wanaoongoza nchi au waliokuwa na majukumu ya kuipeleka hii inchi mbele ki mikataba na kisera, ni wanasheria hao hao unaosema wanaonewa. Ushawahi kuona au kusikia ofisi yoyote ya serikali haina mwanasheria? Hata hiyo sheria ya mtandao imetungwa na wanasheria.Serikali ikianza kushindwa kuwahudumia watu wake inachofuata ni kuzima sauti za raia wake wasiseme kitu ila inshalaahh wanasheria wetu mkaseme pasipo kuogopa chochote au la sivyo ufe maskini ukiwa na imani ya kuwa Tanzania tajiri hewa
So before hujaanza kupoint au kuwaonea huruma wanasheria wako, fikiria hii inchi ilivyo haribiwa na wanasheria. Sheria mbovu wanatunga wao, wanawahukumu watu pasi na haki ni wao, mikataba mibovu ni wao. Usije na akili zako ukasema mahakimu sio sehemu ya wanasheria.