epigenetics
JF-Expert Member
- May 25, 2008
- 269
- 81
Hivi jamani hawa CCM kwanini wanakimbia midaharo jamani?
Hivi kweli kwa ulimwengu huu wa sasa ni sahihi, mtu kuogoba kwenda kwenye midaharo kama hiyo jamani
Ebu wananchi jioneeni wenyewe type ya viongozi wa CCM wanatoka IFM
alafu naomba kama inawezekana tuwaadhibu kwa maamuzi yao
eeeh Mungu baba saidia jamani hawa watu wakose jamani.
Kura zenu zote wananchi wa arumeru mashariki mpeni mbunge wa chadema,kwa sababu hizi ni makini,smart,analielewa jimbo na matatizo yake.huyo ni mkiongozi makini
Akikua ataacha!hizi thread zinahang tuuu.... huweki sababu, unadhani kila mtu anaishi arumeru na anajua kinachojiri??
please be fair to the forum
Akikua ataacha!
Broda,
Ungewarahisishia sana wananchi wa Arumeru na sisi wasomaji hapa kama ungeweka na jina lake huyo mgombea wa hicho chama!
Lakini yaonyesha we bado ni mgeni hapa....karibu sana!....usiogope tutafika tu!