MawazoMatatu
JF-Expert Member
- Sep 6, 2008
- 505
- 63
Mi nimesikia anaitwa Nassary Joshua Samwel au ??Kijana anaitwa Nassari Pallangyo.
Mi nimesikia anaitwa Nassary Joshua Samwel au ??
Mkuu kwenye hiyo video ametambulishwa kama Nasare (Nassary ???) Joshua Samwel ila hapa wanasema hivi-Kwakuwa hata mie nilisikia, basi tusubiri wanaomfahamu kiuhakika watatuhakikishia jina la ubini.
Mbowe, Mnyika, Mdee, Nyimbo, Lema, Palangyo, Shibuda, Zitto, Ntagazwa, Lisu, Mwikwabe na wengine.... YESU WANGU! Bunge lijalo limepata wenyewe
Mkuu hapo kwenye red nimecheka sana. Huna tena hidden Identity kwenye upande wa kabila.