Elections 2010 Mdahalo wa Dr Slaa Movenpick LIVE

Elections 2010 Mdahalo wa Dr Slaa Movenpick LIVE

Angekuwa Kikwete anachekacheka au presha zingekuwa zimeshampanda.

angekuwa anachekacheka afu akitwangwa swali gumu ule ugonjwa wetu wa kudondokadondoka ungeanza kwa kasi ya ajabu
 
How, niko kwenye Bongoradio.com lakini sioni kitu

Nenda chini kuna sehemu inasema listen live, click between Low and High kutegemea na Internet speed yako.mi pia naipata thanks Bongo Radio.
 
Sijakupata kabisa mkuu wangu. weka paragraph tukusome kaka/ dada
. Asante mkuu.

Prof. Azaveli anasema yeye ni mwanachama mfu wa CCM. Je ni wangapi wanachama wafu wengine ndani ya CCM ambao wako kimya?.
 
Anasema kama ni uoga yeye angekuwa kifungoni na hakuna kisasi katika serikali yake lakini wasio wasafi hawatavumiliwa.
 
chadema ina watu safi haikumbatii mafisadi wala haimuogopi mtu
 
Huwezi mtaja raisi kuwa ni fisadi lakini bado unaishi! i lllllllllllike iiittttt!!!!:thumb::thumb::thumb::thumb::thumb::thumb::thumb::thumb::thumb::thumb::thumb: sibaatishi!!! kunywa chai na Obama halafu hamna hela hahahahahah!!!!luvvvvin it!!
 
Swali Umezungumzia kushuka kwa elimu, je utashughulikiaje wanaofoji vyeti na kuingia kufundisha vyuoni
Swali, kwa nini baadhi ya wananchi wanawaona wanaharakati kama wapiga kelele tu

Majibu,

Dr. anaanza na swali la mwisho, anasema yeye mwenyewe ni mwanaharakati, anasema NGO Serious zinatakiwa zipewe nafasi, na NGO briefcase ziwe discouraged. Kwa hiyo wanaharakati ni muhimu sana na wapewe support.

Swala la Uwoga wa itakuwaje CCM ikiondoka,
Hakuna shule ya Uraisi duniani, uraisi ni kwanza Mwenyezi Mungu akikubari, pili Busara na hakina, pia jamii unaishirikisha kiasi gani, pia Ukweli na uwaz… (missed some points here sorry!!)
Anasema anaukaribu sana na wananchi na wanamwelewa kwa kuwaambia ukweli.

Anasema ni maafa kuendelea kuwa na CCM, wengine wanalala kitanda cha ngozi wakati mafisadi wana magorofa, watanzania waondoe woga.
Sababu moja ya kubadilisha mfumo wa elimu ni kutengeneza mazingira mazuri ya Ajira. Tanzania kumekuwa na kasumba kuwa ajira ili ziwepo ni lazima aje mwekezaje, anasema hizi ni fikra mgando na ni tatizo la kutokuwa na plan,
Anasema kila mwaka kuna mabilioni ya pesa kwa ajili ya elimu ya watu wazima, lakini hazifanyi kile zinazotakiwa kufanya na watanzania hawajui hilo.
Anasema lazima pesa hizo ziwasaidie watanzania, anasema mikopo inatolewa na zinaliwa na wajanja na waziri anakili bungeni kuwa zimekwenda kwa wajanja, huo ni ubabaishaji
Swala la kutunza kura
Kura inadhamani kuliko shati, mbona shati haliibiwi, kwa nini kura ziibiwe,
Karatu iko Tanzania, moshi iko Tanzania, tarime pia, kwa nini kule zisiibiwe na kwingine ziibiwe, ni kwa sababu wananchi waliamua kuzilinda, kwa nini wewe usizilinde? Kura ni maji, kura ni Elimu, kura ni maendeleo, kwa hiyo basi inatakiwa zilindwe.

Anaongelea swala la mafisadi, jinsi ambavyo kikwete ameshindwa kuwashughulikia. Anasema haiwezekani mtu akaiba mali ya uma ukamwaacha anadunda, anasema ni kwa kuwa kikwete alifaidika na ufisadi kwa hiyo hawezi kuwafanya kitu.

Chadema haitaruhusu Fisadi adunde mitaani, ukiiba unashughulikiwa.
 
picha za kikwete zipo kwenye nyumba inayokaribia kudondoka
 
Magazeti ya mafisadi sijui kesho yataandika hii habari sijui wataipotezea!
 
Mzee jamaa live anasema kama angekuwa hana uhakika leo angekuwa Jela, huwezi kumtaja Rais kwenye list ya mafisadi ukaendelea kudunda, yeye ni msafi ndo maana anadunda, mzee hii ndo kamaliza
 
Back
Top Bottom