Ni nini Serikali yake itafanya kuwezesha Elimu bora na Afrya Bora
Anasema, Zamani iliwezekana (Wakati wa Nyerere),
Pia, katika Elimu ambayo wawo walipewa ilitolewa kwa staili ambayo iliondoa matabaka, lakini sasa Elimu inatolewa kwa matabaka
Tabaka la kwanza, Watu kama yeye wanaosomesha watoto wao nchini
Tabaka la pili, Watu wanaopeleka watoto wao nje
Tabaka la tatu, watu ambao wahana pa kupeleka mtoto, hata hapa nchini
Thererefore, hakuna jambo la hatari kama kuweka matabaka
Anasema, Tanzania ni nchi ya 49 kati ya nchi 50 Afrika, tunapitwa na Jibuti, pia na Somalia ambayo iko kwenye Vita.
Issue ya Elimu kuwa duni, itatuponza sana uko tunakokwenda, kazi nyingi zitafanywa na wageni, anasema Kingeleza cha watanzania ni duni, hata Kiswahili chenyewe si wote wanakiongea sawasawa, hii ina negative impact kubwa sana kwenye soko la ajira na Tanzania itakuwa msindikizaji hata hapa East Africa,
Ndio maana Chadema wakaja na dhana ya Elimu ya Awali ni lazima, hii ni foundation ni kama msingi wa nyumba, nah ii itakuwa kuanzia chini mpaka Form six.
Anatoa mfano wa Malaysia na Singapore ambapo miaka 50 iliyopita walikuwa kama sisi, na sasa wanamaendeleo makubwa sana kwa kuwa waliwekeza kwenye Elimu.
Chadema itafanya hivyo pia, kuwekeza kwenye elimu