Elections 2010 Mdahalo wa Dr Slaa Movenpick LIVE

Elections 2010 Mdahalo wa Dr Slaa Movenpick LIVE

madini kama rasilimali muhimu ya nchi yetu,anatoa facts hapa
 
JAMANI nipo mahali sina access ya radio wala tv pls naomba updates jamani, tafadhali sana, asanteni kwa updates naombeni nyingine
 
swali la mikataba ya madini...dahh huyu mzee ana mareference kibao anaongea mambo ya jaji bomani
,,,,haaaaa mkwere anaweza mambo haya

si unajua huyu anaelewa nchi inaelekea wapi sio kama yule bogas anaejua kudondoka jukwaani tu
 
swali. kuhusu mikataba ya madini kuwa win win je atafumua mikataba. ataangalia mikataba na kujadili na wawekazaji ili kupata win win.na kutoa harufu ya rushwa.
 
Ameulizwa swali kuhusu mikataba ya madini. anasema mikataba itazamwe upya. migodi iliyo kubaliwa na JK ya kulipa laki2 kwa kila mgodi misingi yake ni nini? Rayalti ya 3%. hapa pana rushwa.
 
Sasa ni wakati wa maswali ya moja kwa moja, yanatakiwa maswali mafupi

Swali la kwanza
Atafanyaje kuvunja mikataba mibovu ya madini?
Anasema mikataba inahitaji itazamwe upya, Anasema Serikali haijafanyia kazi recommendation ya tume ya Jaji Bomani.
Anatoa mfano wa laki mbili kutoka kila mgodi kwa halmashauri, anasema msingi ilikuwa ni nini? Why flat rate wakati production ni tofauti? Anasema kila mgodi utalipa kulingana na income, ameongea na nchi mbalimbali iliwemo Canada, Kenya etc.
Anasema magawanyo wa mapato kati ya mwekezaji na Tanzania uliopo sasa ni mpovu na hauvumiliwi hata kidogo. Watanzania ndio wafaidike kwanza
Tunataka maslahi ya watanzania katika raslimali za Tanzania, mgeni akifaidi na mtanzania aafaidi
 
katavi ...huyo dada aliyeuliza swali la pili ni nani?
 
Daaah hivi kwa nini uyu mzee asiwe raisi tu bila uchaguzi?mmh kuna mamluki hapo?
 
updates pls nipo hapa shinyanga naona tanesco wamechakachuliwa wameshazima umeme sasa sielewi nimebaki nakodoa macho apa kwenye tv giza tupu afu uku nje nasikia matangazo na kampeni za ccm
 
dahhh recurrent expenditure...uwiiiiiiiiiiiiiiiiii wapi madaftali yangu ya book keeping..mshahara ni consumptive....dahhhh hivi vitu anasoma mahali au
 
Ameulizwa swali kuhusu mikataba ya madini. anasema mikataba itazamwe upya. migodi iliyo kubaliwa na JK ya kulipa laki2 kwa kila mgodi misingi yake ni nini? Rayalti ya 3%. hapa pana rushwa.
Hili ni la muhimu.
 
tupo wengi sana hiyo isikutie wasiwasi....mbaya zaidi nipo na wapiga kura wa jeykei wanafuatilia mdahalo....wamemkubali dokta, wanasema wamebadili mawazo....jamaa anasera za kufa mtu.....kura ni kwa Slaa

PRETA hebu cheki PM yako kwanza bana
 
Back
Top Bottom