FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asome wapi! Kwani yeye ni Kikwete!!!!!dahhh recurrent expenditure...uwiiiiiiiiiiiiiiiiii wapi madaftali yangu ya book keeping..mshahara ni consumptive....dahhhh hivi vitu anasoma mahali au
maria sarungikatavi ...huyo dada aliyeuliza swali la pili ni nani?
Daaah hivi kwa nini uyu mzee asiwe raisi tu bila uchaguzi?mmh kuna mamluki hapo?
Asome wapi! Kwani yeye ni Kikwete!!!!!
Anajibu.....wametumia katiba ya leo ambayo haimzuii inasema maadam ujue kusoma na kuandika kiswahili na kiingereza. Katiba inamruhusu na ana uzoefu! Sifa ya uongozi sio elimu pekee, ni uaminifu na uadilifu wake.kuna jamaa kauliza swali kwamba kwa nini wameteua Chadema mgombea mwenza darasa la 7, kuna Green card kwenye huu mdahalo!
Ahahaaaaaah Kigogo usisahau kumpa kura yako wiki ijayo!mhhhh ..kapangua swali la mgombea ni darasa la 7 ...katiba inaruhusu...duuuuh hiki ni kifaaaa aiseee
Anajibu.....wametumia katiba ya leo ambayo haimzuii inasema maadam ujue kusoma na kuandika kiswahili na kiingereza. Katiba inamruhusu na ana uzoefu! Sifa ya uongozi sio elimu pekee, ni uaminifu na uadilifu wake.
Ahahaaaaaah Kigogo usisahau kumpa kura yako wiki ijayo!