Elections 2010 Mdahalo wa Dr Slaa Movenpick LIVE

Elections 2010 Mdahalo wa Dr Slaa Movenpick LIVE

Amenikosha kuhusu majibu la swala la Kagoda. Kamtaja Rostam na Mkapa kwamba wahusika. Anasema ndo maana JK anakuwa na kigugumizi kuhusu kuzungumzia ufisadi.
Du ndio maana anaogopa(Kikwete) midahalo.
 
Mbona yule mwingine anaogopa midahalo,hana uwezo wa kukabiliana na maswali ya papo kwa papo

Yaani kwa kigezo hiki watanzania tulitakiwa kujua kuwa huyu mtu hana nia njema na nchi hii. Ana madhambi aliyowafanyia watanzania na hana mpango wa kujirekebisha. Mwandishi mmoja wa Mwanahalisi akasema kama Kikwete ameweza kuonyesha udhaifu wa wazi namna hii mfano kuwatetea akina Lowasa, Chenge na Mramba, kutowashughulikia mafisadi n.k ili hali anajua kuwa anakuja kuomba kura, itakuwaje kipindi hiki ambacho anajua haji kuomba kura tena? Ataifilisi kabisa hii nchi. Watanzania wenzangu tuamke na tuseme hapana kwa Kiwete na CCM yake.
 
Tanesco walikata umeme Shinyanga lilipofikiwa swali la Kagoda, jamaa yangu kaniarifu.

heee ndo maana umeme umekatika apa yani mi nim epata hasira mji mzima umeme umekatika na my pc is run off charge sijui ntapataje updates
 
haki ya mungu mkwere angezimia kwa maswali haya..Yaani huyu Dr.Slaa kamtaja Mkapa na Rostam live?????? duhhhh
 
Mishahara na inflation ndio anafafanua hivi sasa.
 
Jamani nasikiza Bongo Radio,

Jinsi Dr. Slaa anavyojibu maswali na mambo aliyafanya kutoka akiwa Mbunge wa Karatu, kuhusu maswala ya ufisadi na maisha ya watanzania.

Je, hakuna uprofessor wa Heshima tukiangalia mchango mkubwa wa Dr Slaa?

Nawasilisha, msinipige maweeeeeeeeeeeee upande wa pili.
 
heee ndo maana umeme umekatika apa yani mi nim epata hasira mji mzima umeme umekatika na my pc is run off charge sijui ntapataje updates

poleni ...ila huyu mzee jamani ana poiny vibaya sana...Hivi anasoma au?
 
Nadhani wote mnapata mambo LIVE, mwenye tatizo la kuunganisha Bongo Radio atuambie na tutamsaidia
 
saa 1 na dakika 56 ikiwa swali la kwanza limejibiwa umeme umekatika ndani ya mji wa shinyanga. updates jamani.
 
Kweli tumeamka
Sisi wooote tupo hapa
Nimehesabu tupo 95 cash.
Naipenda JF. nami napata live kupitia mdau hapa JF

tupo zaidi ya hapo......chonde chonde wananchi tukimpoteza rais Slaa tumekwisha
 
Back
Top Bottom