Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,332
kuna jamaa kauliza swali kwamba kwa nini wameteua Chadema mgombea mwenza darasa la 7, kuna Green card kwenye huu mdahalo!
nadhani yupo kibaraka alotumwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna jamaa kauliza swali kwamba kwa nini wameteua Chadema mgombea mwenza darasa la 7, kuna Green card kwenye huu mdahalo!
Mazee. Dr. Slaa kwa kweli anaongea kwa confidence na intellect ya hali ya juu. Mkuu GQ ahsante bongoradio juu......
Kuna mtu anayeangalia TV anaweza kuconfirm kama dr. Slaa anasoma mahali au anaongea kutoka kichwani?? Kazi kweli kweli
Hasomi sehemu yoyote labda anachosoma ni samary ya maswali anayoandika.Mazee. Dr. Slaa kwa kweli anaongea kwa confidence na intellect ya hali ya juu. Mkuu GQ ahsante bongoradio juu......
Kuna mtu anayeangalia TV anaweza kuconfirm kama dr. Slaa anasoma mahali au anaongea kutoka kichwani?? Kazi kweli kweli
kajitetea kuhusu hili lakini mi bado naliona tatizo kama tunataka kujenga taifa lenye nguvu,,,,,, lenye wasomi watakaoweza kushindana katika soko la kimataifakuna jamaa kauliza swali kwamba kwa nini wameteua Chadema mgombea mwenza darasa la 7, kuna Green card kwenye huu mdahalo!
Pole....mi niko mtoni lakini kwa hali hii nashawishika kurudi kupiga kura...aaaaaaaaaya bongo redio imekatika
Jinsi Chadema inavyodhamilia kurejesha sura ya tanzania kimataifa,
Tunachafuliwa sasa na ufisadi, tunahitaji viongozi wasafi, viongozi wale wanaangalia maslahi ya taifa.
Mazee. Dr. Slaa kwa kweli anaongea kwa confidence na intellect ya hali ya juu. Mkuu GQ ahsante bongoradio juu......
Kuna mtu anayeangalia TV anaweza kuconfirm kama dr. Slaa anasoma mahali au anaongea kutoka kichwani?? Kazi kweli kweli
Katiba ndio yenye matatizo......lakini kaahidi kubadili katiba yetu.kajitetea kuhusu hili lakini mi bado naliona tatizo kama tunataka kujenga taifa lenye nguvu,,,,,, lenye wasomi watakaoweza kushindana katika soko la kimataifa
Hata mimi sijaelewa.score card ya umaskini?sijamuelewa huyu
hakuna mahali anasoma...hichi ni chombo mkuu....wala hachekicheki hovyo