Elections 2010 Mdahalo wa Dr Slaa Movenpick LIVE

Elections 2010 Mdahalo wa Dr Slaa Movenpick LIVE

Yona F. Maro

R I P
Joined
Nov 2, 2006
Posts
4,201
Reaction score
236
Nipo ukumbini hapa DR SLAA na Mbowe wameshaingia Hotelini pamoja na viongozi wengine wa chadema kama Kitila Mkumbo na Mabele Marando maandalizi yanaenda vizuri kwa walinzi kukagua vitu kadhaa vya kiusalama; mafundi wa ITV wakijaribu mitambo yao pamoja na maongezi ya hapa na pale.

Hapo nje kuna T-shirts za Dr Slaa, ilani ya CHADEMA pamoja na vitabu kadhaa vilivyoandikwa na vijana vinavyohusu maisha ya Dr Slaa pamoja na kingine kinachojaribu kumfananisha Dr Slaa na Nyerere kutokana na matukio na matendo
 
We SHY huyu si alikuwa tanga sasa hivi mara hii Kishafika dar?mhh haya hebu nipeni link kwanza niweze kufuatilia hii kitu
 
Please msisahau kuweka videos kwenye you tube usiku huu huu.
Pamoja Katika kujenga taifa.
 
Ooops, they have done it

nawasha jenereta, too low for the rulers
 
Heheheee! ccm wana mambo! Haya tuliyatarajia. Mbaya sana. Kwa njia hii wanampandisha chati rais wetu mtarajiwa. Ila inaudhi sana jamani.
 
Nipo Oman, naangalia ITV sasa hivi kupitia TV4Africa nikimsubiri Rais Dr. Slaa kuhutubia. Mambo mswano!!!
 
Nyoosha kidole adela - sina maana nataka kukurudisha darasani ndio nyimbo inayopigwa hapa saa hii - ni nzuri sana imeimbwa na mrisho mpoto
 
Watu maarufu wengine niliowaona mpaka saa hii ni mgombea ubunge wa ilala kwa tiketi ya chadema Naomi kaihula , dr azaveli lwaitama , maria sarungi , waandishi William shao , matinyi masyaga na wadau mbalimbali wa habari .

NYOOSHA KIDOLEEE – ADELAAAAA , MSIJE MKALETA SIASA KWENYE ROHO ZA WATU
 
Nyoosha kidole adela - sina maana nataka kukurudisha darasani ndio nyimbo inayopigwa hapa saa hii - ni nzuri sana imeimbwa na mrisho mpoto
Shy wewe si ndo yona MARO??? Unataka kurudi kundini??
 
te te te te teh, siamini hivi kweli wanafanya makusudi hawa jamaa, Loh !
 
Shy.nipo kando ya tv.ndani ya A twn.umeme haujakatika lakini naomba uendelee kutuhabarisha hawakawii kukata umeme hawa
 
Tanzania hiyo(chini Ya CCM), nasikia kwamba kama waziri akinyimwa unyumba na msichana anayemtaka, basi hana budi kuamuru umeme wa mtaa anaokaa binti huyo ukatwe mara moja.....Tz yangu naipenda lakini hakuna uwajibikaji katika kazi bali Chuki imetawala idara nyingi. Tubadilike tufanye kwa ajili ya kizazi chetu kije kufaidika zaidi ya hapa.
 
Tupeni link jamani nasi tujionee huku kwetu tulio mbali na home.
 
Kipindi kishaa anza! ACID Vipi hujawasha jenereta tu! Tumeunganishwa live fatuma nyangasa analonga!
 
Back
Top Bottom