Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,467
- 3,687
Huo mjadala nani alishinda?Tatizo la sure anaonge sana,siku ya mjadala hakujua vyema uwezo wa mpinzani wake😃,ikawa balaa.
Sasa anakwenda kuingia matopeni tena.
Jamaa anafuga majini huyuMDAHALO WA KIELIMU: Season 2
Waislamu mwalimu wenu anakibarua kizito
Baada ya MDAHALO wa kwanza walimu wakiislamu Sule,mazinge na genge lao kupigwa KO
Sasa tumeandaa MDAHALO mwingine kuendelea kupinga upotishaji na kuwaleta waislam kwa Yesu
View attachment 2993031
Tukimaliza mada hizo mbili katika mjadala wa uso kwa uso tutaenda live kwenye media kama kumi hivi juu ya mada ya majini ambayo Dr. Sule kasema muislamu anaweza kuyafuga na yakampa pesa/mafanikio....
Tarehe 1&2/06 msikose katika kumbi za Sunset katika ukumbi wa Flamingo Mbezi Beach Makonde.
Hakuna kiingilio, ni bure, wote mnakaribishwa.
0757722557
View attachment 2993029
Walikufanya nn mkuu?[emoji23]Wazee wa takbir ....ila waislamu nilikuja kuwaona jau na sio waungwana nilivyofika advance.
Jibu ni lipi?Sasa hivi ata kwa akili ya kawaida tu uulizwe yesu ni mungu au si Mungu si hata mtoto mdogo anajua jibu lake jamani 😀
Wakati nakua na ata mafundisho yangu ya kidini nilifundishwa kuwa waislamu ni watu wazuri wanao mwabudu allah na wanasali msikitini. Hayo ni mafundisho ya walutheri kwenye kipa imaraWazee wa takbir ....ila waislamu nilikuja kuwaona jau na sio waungwana nilivyofika advance.
Kwahiyo yeye ni mungu au ni mwana wa mungu?Jibu ni lipi?
Yohane 14:8-12
,,,,,,,,,,, Aliyekwisha niona mimi amemwona Baba.
Yohana 5:37
Naye Baba aliyenituma amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wowote, wala sura yake hamkuiona.
Baba aliyemtuma sio kwamba amejituma , acheni kuamini ujinga Ysu hakuwa MunguJibu ni lipi?
Yohane 14:8-12
,,,,,,,,,,, Aliyekwisha niona mimi amemwona Baba.
Yohana 5:37
Naye Baba aliyenituma amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wowote, wala sura yake hamkuiona.
Video Iko wapi,mkuu?Tatizo la sure anaonge sana,siku ya mjadala hakujua vyema uwezo wa mpinzani wake😃,ikawa balaa.
Sasa anakwenda kuingia matopeni tena.
Ilikuwaje advance mkuu,baina yako na waislamu?Sasa hivi ata kwa akili ya kawaida tu uulizwe yesu ni mungu au si Mungu si hata mtoto mdogo anajua jibu lake jamani 😀