MDAHALO WA ELIMU Part 2 NA SHEIKH SULE

MDAHALO WA ELIMU Part 2 NA SHEIKH SULE

Baba aliyemtuma sio kwamba amejituma , acheni kuamini ujinga Ysu hakuwa Mungu
Hiki unachokifanya kilishafanywa zaidi ya miaka 1500 iliyopita.

Hutabadili chochote hata uwaite wakristo ni wajinga kuamini Yesu ni Mungu.

Quran yako imeshindwa kuwaaminisha wakristo pamoja na mistari yote iliyopinga kwa nguvu zote,utaweza wewe hapa Jf?

Pumzikeni na huu ujinga wenu,Kila mmoja aamini anachoamini.
 
Wewe kama umeshindwa kuelewa bible ndio utaelewa Qur an ?😀😀 ujinga na kutojitambua eti Ysu ni MUNGU na pale msalabani alikuwa anaomba Mungu amuokeoe ,
 
Wewe kama umeshindwa kuelewa bible ndio utaelewa Qur an ?😀😀 ujinga na kutojitambua eti Ysu ni MUNGU na pale msalabani alikuwa anaomba Mungu amuokeoe ,
Kwani Quran ili uelewe inahitaji utumie majini? Akili zenu waislamu ni za hovyo sana,kudhani nje ya waislamu,basi watu wa dini nyingine hawaielewi Quran.

Alafu,mnashimdwa kumuelewa Mungu kwamba ana-operate katika viwango vya kibinadamu,ndiyo maana Kuna mistari kibao ambayo Mungu alishuka,alishuka kama mtu/watu.

1.Mungu alishuka kwa umbo la watu kuja kwa lutu,watu wakaishia kutaka kuwaingilia hadi wakapigwa upofu.

2. Mungu alimtokea Mariam mama yake yesu kwa umbo la kibinadamu kumpa taarifa kwamba atabeba mimba ya masihi. (Huyo malaika Gabriel alikuwa na umbo la kibinadamukama Mimi na wewe).

3. Yesu alipofufuka aliwatokea watu wawili waliokuwa wanaenda Jerusalem Huku aakipiga stori kumhusu kufa na kufufuka kwake,alipokula nao ndiyo akajidhihisha kwao wakamtambua kisha akatoweka hapohapo,nao wakatoka na kwenda kuwapasha habari wanafunzi wake waliojifungia ndani kwa woga.

Ndugu yangu muislamu,unapaswa uelewe kuwa Mungu anakuwa katika dimension hii ya kibinadamu pindi anapokuja au anapotuma wajumbe wake.
 
Back
Top Bottom