Y Yusuph2 Member Joined Dec 24, 2013 Posts 59 Reaction score 10 Apr 11, 2015 #1 leo hii wajumbe wa iliyokuwa tume ya kukusanya maoni ya katiba mpya wamekuja kutoa elim ya katiba mkoani mbeya
leo hii wajumbe wa iliyokuwa tume ya kukusanya maoni ya katiba mpya wamekuja kutoa elim ya katiba mkoani mbeya
N nseleko Member Joined Mar 22, 2014 Posts 71 Reaction score 25 Apr 11, 2015 #2 Pamoja Sana mungu awasimamie tulijenge taifa Tanzania lilikosa dira na mwelekeo.
I Itonjanda JF-Expert Member Joined Oct 22, 2014 Posts 638 Reaction score 349 Apr 11, 2015 #3 Pr. Baregu aweka wazi mchango wake katika kufikiwa kwa uamuzi wa Ukawa kugomea bmk na kura ya maoni... Tafakari...
Pr. Baregu aweka wazi mchango wake katika kufikiwa kwa uamuzi wa Ukawa kugomea bmk na kura ya maoni... Tafakari...
D Dragunov Sniper JF-Expert Member Joined Mar 9, 2015 Posts 2,795 Reaction score 9 Apr 11, 2015 #4 Intonjanda said: Pr. Baregu aweka wazi mchango wake katika kufikiwa kwa uamuzi wa Ukawa kugomea bmk na kura ya maoni... Tafakari... Click to expand... Intonjanda hujaeleweka. Tuambie huo mchango maana wewe ndiyo umesililiza hiyo elimu iliyotolwa usituache njia panda ili tukuelewe.
Intonjanda said: Pr. Baregu aweka wazi mchango wake katika kufikiwa kwa uamuzi wa Ukawa kugomea bmk na kura ya maoni... Tafakari... Click to expand... Intonjanda hujaeleweka. Tuambie huo mchango maana wewe ndiyo umesililiza hiyo elimu iliyotolwa usituache njia panda ili tukuelewe.