Mdahalo wa katiba TEKU

Mdahalo wa katiba TEKU

Yusuph2

Member
Joined
Dec 24, 2013
Posts
59
Reaction score
10
leo hii wajumbe wa iliyokuwa tume ya kukusanya maoni ya katiba mpya wamekuja kutoa elim ya katiba mkoani mbeya
 
Pamoja Sana mungu awasimamie tulijenge taifa Tanzania lilikosa dira na mwelekeo.
 
Pr. Baregu aweka wazi mchango wake katika kufikiwa kwa uamuzi wa Ukawa kugomea bmk na kura ya maoni...

Tafakari...
 
Pr. Baregu aweka wazi mchango wake katika kufikiwa kwa uamuzi wa Ukawa kugomea bmk na kura ya maoni...

Tafakari...

Intonjanda hujaeleweka. Tuambie huo mchango maana wewe ndiyo umesililiza hiyo elimu iliyotolwa usituache njia panda ili tukuelewe.
 
Back
Top Bottom