TheTanzaniaWeWant Member Joined Oct 23, 2013 Posts 23 Reaction score 1 Nov 10, 2013 Thread starter #21 tuna tatizo la kiufundi
Luushu JF-Expert Member Joined Apr 8, 2012 Posts 816 Reaction score 477 Nov 10, 2013 #22 Katiba inatoa madaraka kwa dola kuisimamia serekali huyo ni Francis Stola
Luushu JF-Expert Member Joined Apr 8, 2012 Posts 816 Reaction score 477 Nov 10, 2013 #23 Mu-sir said: Maoni yangu kama mtaweza kuyafikisha huko yafikisheni kuwa: kama kweli watanzania tuna nia ya Dhati ya Muungano basi tuwe na NCHI MOJA TU na SERIKALI MOJA kinyume na hapo ni kiinimacho tu. Click to expand... Bahati mbaya sijapata nafasi ya kuwasilisha swali lako lakini jf inasomwa na kila mtu ujumbe umefika
Mu-sir said: Maoni yangu kama mtaweza kuyafikisha huko yafikisheni kuwa: kama kweli watanzania tuna nia ya Dhati ya Muungano basi tuwe na NCHI MOJA TU na SERIKALI MOJA kinyume na hapo ni kiinimacho tu. Click to expand... Bahati mbaya sijapata nafasi ya kuwasilisha swali lako lakini jf inasomwa na kila mtu ujumbe umefika
Luushu JF-Expert Member Joined Apr 8, 2012 Posts 816 Reaction score 477 Nov 10, 2013 #24 Tumemaliza mdahalo ujao utahusu elimu tutajulishwa tarehe
Mu-sir JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 3,621 Reaction score 1,636 Nov 10, 2013 #25 Luushu said: Bahati mbaya sijapata nafasi ya kuwasilisha swali lako lakini jf inasomwa na kila mtu ujumbe umefika Click to expand... Ok nashukuru ukipata nafasi siku nyingine nifikishie wazo langu hilo
Luushu said: Bahati mbaya sijapata nafasi ya kuwasilisha swali lako lakini jf inasomwa na kila mtu ujumbe umefika Click to expand... Ok nashukuru ukipata nafasi siku nyingine nifikishie wazo langu hilo