Mdahalo wa rasimu ya katiba mpya

Mdahalo wa rasimu ya katiba mpya

Katiba inatoa madaraka kwa dola kuisimamia serekali huyo ni Francis Stola
 
Maoni yangu kama mtaweza kuyafikisha huko yafikisheni kuwa: kama kweli watanzania tuna nia ya Dhati ya Muungano basi tuwe na NCHI MOJA TU na SERIKALI MOJA kinyume na hapo ni kiinimacho tu.
Bahati mbaya sijapata nafasi ya kuwasilisha swali lako lakini jf inasomwa na kila mtu ujumbe umefika
 
Tumemaliza mdahalo ujao utahusu elimu tutajulishwa tarehe
 
Bahati mbaya sijapata nafasi ya kuwasilisha swali lako lakini jf inasomwa na kila mtu ujumbe umefika

Ok nashukuru ukipata nafasi siku nyingine nifikishie wazo langu hilo
 
Back
Top Bottom