Wataje majina Sasa unawaficha wa nini Sasa.Mpaka sasa wagombea wawili wamethibitisha kushiriki mdahalo huo, tunaendelea na jitihada za kuhakikisha wote wanashiriki katika mdahalo, Asante.
Na mimi ukifanyika naomba nilipwe mafao yangu ya NSSFIkitokea mdahalo huo ukafanyika, naomba mimi nihamishiwe Dubai kwa gharama za serikali.
FAM hawezi kukubali kitu kama hicho
Tutaendelea kumpigia kura Tena safari hiiHuyo jamaa ni dikteta sugu. amehodhi chama kama kampuni yake, hataki kuachia.
Acha mdahalo ufanyikewatu wameshaanza kutukanana muweke mdahalo mnataka wavuane nguo hadharani hatutaki kuona mbupu za watu wazima kama hao hazarani sisi
Lissu atakubali ila Mbowe lazima achomoe maana mbele ya Lissu ...kigugumizi kitamtesa sana Mzee wetu Mbowe.Edwin Odemba: Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa utafanyika tarehe 18/01/2025, siku ya jumamosi kuanzia saa 3:30 Usiku hadi saa 6:00 Usiku, mahali mtajulishwa. Mpaka sasa wagombea wawili wamethibitisha kushiriki mdahalo huo, tunaendelea na jitihada za kuhakikisha wote wanashiriki katika mdahalo, Asante.
Mdahalo ni njia nzuri ya mgombea kuuza sera zake lkn nina wasiwasi kama utafanikiwa kwa sababu Lissu sio muungwana ni mpenda sifa.watu wameshaanza kutukanana muweke mdahalo mnataka wavuane nguo hadharani hatutaki kuona mbupu za watu wazima kama hao hazarani sisi
Vizuri sana, Binafsi sina wasiwasi na Simba Tundu lissu, atawachachafya vizuri mno.Edwin Odemba: Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa utafanyika tarehe 18/01/2025, siku ya jumamosi kuanzia saa 3:30 Usiku hadi saa 6:00 Usiku, mahali mtajulishwa. Mpaka sasa wagombea wawili wamethibitisha kushiriki mdahalo huo, tunaendelea na jitihada za kuhakikisha wote wanashiriki katika mdahalo, Asante.
Hiyo hoja ya 'hataki kuachia' hata Lissu anakwepa kuitumia maana anajua kuwapo madarakani kwa Mbowe na kutaka kuendelea kuwapo madarakani, kupo kisheria, wala hajalazimisha kama ambavyo watu wengi wa vijiweni wanavyotaka ionekane. Njia pekee ya kuonyesha kwamba Mbowe 'hataki kuachia' madaraka ni kubadilisha katiba ya chama au kumshinda kwa kura. By the way Mbowe hajajiweka pale, ila amechaguliwa na hao hao CHADEMA. Kama wewe si mjumbe wa mkutano wa uchaguzi, usijihesabu sana kwamba na wewe ni mwenye CHADEMA, wenye CHADEMA ni wale watakaopiga kuraHuyo jamaa ni dikteta sugu. amehodhi chama kama kampuni yake, hataki kuachia.
Kwamba uungwana unaupima wewe na mme wako mbowe au umetumia kihezo gani kusema lissu sio muungwana.Mdahalo ni njia nzuri ya mgombea kuuza sera zake lkn nina wasiwasi kama utafanikiwa kwa sababu Lissu sio muungwana ni mpenda sifa.