Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdahalo unaweza na obvious utafanyika tu..Ikitokea mdahalo huo ukafanyika, naomba mimi nihamishiwe Dubai kwa gharama za serikali.
Labda Mbowe anategemea siku hiyo nyagi itamsaidia hahhaahaaaFAM hawezi kukubali kitu kama hicho
Wagombea wapo 3...Mbowe amekubali kabisa???
Katika hao wawili nauhakika jina la Mbowe halipoWagombea wapo 3...
Ingefaa angeweka majina nani na nani!
Unamaanisha ataukimbia kwa vinasaba vile vile vya WANA CCM?..FAM hawezi kukubali kitu kama hicho
sasa unataka afanye nini?Mbowe amekubali kabisa???
Hana hoja zaidi ya kumuunga mkono mama Abdul .FAM hawezi kukubali kitu kama hicho
Yule sultan aliye overstay hawezi kwendaEdwin Odemba: Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa utafanyika tarehe 18/01/2025, siku ya jumamosi kuanzia saa 3:30 Usiku hadi saa 6:00 Usiku, mahali mtajulishwa. Mpaka sasa wagombea wawili wamethibitisha kushiriki mdahalo huo, tunaendelea na jitihada za kuhakikisha wote wanashiriki katika mdahalo, Asante.
Nawahakikishia akili ndogo hawezi kushiriki mdahalo na akili kubwa! Je, CHADEMA wakubali au wasikubali Mdahalo wa Uenyekiti wa chama? Wenzenu CCM huwa hawakubali Midahalo mimi niko hapa mtaniambia!Edwin Odemba: Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa utafanyika tarehe 18/01/2025, siku ya jumamosi kuanzia saa 3:30 Usiku hadi saa 6:00 Usiku, mahali mtajulishwa. Mpaka sasa wagombea wawili wamethibitisha kushiriki mdahalo huo, tunaendelea na jitihada za kuhakikisha wote wanashiriki katika mdahalo, Asante.
Leo unamuita Mbowe akili ndogo muraNawahakikishia akili ndogo hawezi kushiriki mdahalo na akili kubwa!
P
Atalazimishwa na waliomchukulia Fomu 🐼FAM hawezi kukubali kitu kama hicho
Sio rahisi Mbowe kukubali debate dhidi ya Lissu.sasa unataka afanye nini?
Hapo ndo hawakubali kabisa achana naoMidahalo anzieni huko CCM,wenye serikali na wanaotuibia fedha zetu