Asante natasha kwa mchango wako. Mpango wa mdahalo huu ni kwamba utasimamiwa na JF (please sio mimi), hivyo michango yako unaweza kuituma kwa JF kama vile ambavyo unachangia kawaida. Mkuu wetu Invisible ndiyo atacoordinate, si hivyo ndugu Invisible? mambo yote yatafanyika kwa kuwashirikisha wachangiaji. Mimi mwenyewe kesho nitatoa 1/2 ya ahadi yangu.
Ukitoa usiache kuitaarifu bodi ili iweze ku update hesabu zake
Michango inaweza kutumwa kwa njia kuu nne:
1. Kwa walio nje wanaweza kutumia PayPal au Credit Cards au Debit Cards kwa kufuata link hii (
https://www.jamiiforums.com/payments.php) iliyo kwenye sahihi yangu (linapoonyesha dole gumba) na pindi mchangiaji anapoweka chochote tunakuwa notified nasi tunafanya kuwasiliana na mhusika ili aweze kupandishwa kwenda katika group la Premium Members.
Paypal users:
Send via email -
macdemelo@gmail.com moja kwa moja itafika na utaarifiwa ndani ya dakika 60 kuwa mchango wako umepokelewa.
2. Njia ya pili ni kutumia Western Union au Money Gram na kutuma kwenda kwa Maxence Melo Mubyazi wa Dar es Salaam.
3. Njia ya tatu ni kutumia Bank accounts za Maxence kama ifuatavyo:
NBC:
Acc #: 033201064359
Jina: Maxence Melo Mubyazi
CRDB:
Account Name: Maxence Melo Mubyazi
Bank: CRDB Pugu Road Branch
Swift Code: CORUTZTZ
Acc No: 01J2092391800
4. Njia ya nne:
Unaweza kutuma recharge vouchers za tiGO, Zain, VodaCom au Zantel kwenda kwa Maxence - 0713444649 naye atakufahamisha kuwa kazipokea.
Mkuu Invisible Jisajiri na M-pesa kwani hii unaweza kwenda kwa agent na kutuma straight kwenye number yako!