Pre GE2025 Mdahalo wa wagombea Urais wa TLS ulikuwa "fantastic". Wagombea Urais Uchaguzi Mkuu 2025 waige mfano huo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hatari lkn salama
Nakumbuka kuna kipindi fulani iliwahi kufanyika hivi wagombea ubunge na udiwani, CCM wakawa wanapwaya Mzee Kinana akawapiga marufuku wagombea wa CCM
 
Yule mama atweza mdhalo na Lissu?
 
Yaan sijaonaaa hata swaliimojaaa mwanamke angeweza jibu pale bora wabaki wanaume tu kwa uraisi
 
..tatizo lingine ni kwamba hatuna waandishi au watangazaji wenye uwezo wa kuendesha midahalo ktk VIWANGO vinavyotakiwa.
Hata wakiwepo wanatishwa sana na wengine wanafundishwa woga kama wengi wetu tulivyo mashujaa nyuma ya baobonya "keyboard worriors"..
 
Hata mimi, nilicheka sana, baada ya kuambiwa kuwa wewe ni mwanachama wa CCM😅

Akajibu ndiyo

Chifu Odemba, akaendelea kumkandamiza na swali, CCM yako, jamaa akakana kuwa CCM siyo Mali yake😅
 
Hata mimi, nilicheka sana, baada ya kuambiwa kuwa wewe ni mwanachama wa CCM.

Akajibu ndiyo

Chifu Odemba, akaendelea kumkandamiza na swali, CCM yako, jamaa akakana kuwa CCM siyo Mali yake😅
Yule odemba hana adabu aisè jamaa simjui lakn nilimwonea huruma achatu
 
Hizo porojo ndio mnaziweka , hamtokuja kupata maendeleo ng'o kwa kubwabwanya midomo ...Moja ya vitu vya kijinga kabisa kufuatilia hizo sheria zenyewe ni kukariri tu .

Wenzenu wapo kweny exhibition kubwa za teknolojia nyie maneno kibao .
Sema Chura hawezi kukubali😄😄 siyo porojo
 
Subutuuuu, hawana uwezo huo
 
Wakati hilo linafanyiwa kazi, njia pekee ni midahalo kuanza ktk uchaguzi mkuu wa 2025. Itachangamsha siasa pia vyama watalazimika kuwachagua watu sahihi kuviwakilisha vyama vyao, mtazamo wangu tu.
Pia itaamsha hamasa ya watu kujitokeza kupiga kura
 
Sipati picha Odemba anamuuliza Sasha kuhusu bandari DP world na rasilimali halafu akajibu kuhusu 4R anazozipenda.
😀😀

Niko na miaka 26 now.

Katika kusoma kwangu, kuishi, kuzurula na kutongoza nimejionea wanawake extra ordinary kwa level ya kua top leaders ni wachache sana kama sio hakuna.

Japo they are good doors. Like Apewe kazi yenye miongozo, yeye aende by miongozo ila sio creative/first kazi jobs ni kisanga utaskia hapa tunafanyaje/Mm nawasikiliza nyie 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…