Bila shaka itakuwa debate tamu..sana...Kenyatta ni gwiji wa kuzungumza Kiingereza kumliko Odinga ila hilo halina uzito wowote kwa mjadala huu kwani ukija kwa mjadala nadhani Odinga ana maswala mengi ambayo anaweza akatumia dhidi ya Kenyatta especially ktk maswala ya ufisadi, bei za bidhaa (cost of living) na migomo (madaktari, wauguzi n.k)
nikimalizia, jifurahisheni na picha hii ya Nairobi Britam Tower...nimepita Upperhill jana usiku na kuliona...maridadi mno...jengo la pili Afrika kwa urefu.
Shida kubwa ya Raila itakuwa kudefend zile statements amekuwa akitoa kwa rallies. Kwa sababu nyingi ni uongo
Mfano anasema ati serikali yake na Kibaki ilipanga SGR kwa bei ya Sh227 billion, na Jubilee imeiba Sh100 billion.
ilhali archives zinaonyesha kwamba grand coalition ilipanga SGR kwa bei ya Sh340 billion.
Fact Check: Was Sh100 Billion Really Stolen in the SGR Project?
Migomo ya madaktari sana ni swala la governors kwani hao ndio huwalipa. The same thing na nurses.
Ikikuja kwa ufisadi, nadhani Uhuru ata compare and contrast Raila alivyorespond kama waziri Mkuu, na yeye alivyofuta mawaziri.
Nadhani pia ata muuliza Raila kwanini mfisadi mkubwa Kenya kwa jina Evans Kidero alipewa direct nomination na ODM. Kwanini pia Charity Ngilu, waziri aliyefutwa na Uhuru kwa ufisadi, amekaribishwa Nasa.
Kwanini pia Raila alikimbia Kilifi kumtetea gavana Kingi aliyekuwa mashakani kwa ufisadi.
In short, Uhuru has enough material to respond to Raila's attacks on corruption.
La mwisho, Raila atatakiwa apeane proof kwamba cost of living (unga) imepanda kwa sababu ya corruption wala sio drought. Na aseme vile realistically atashukisha rent kwa siku 90.
Out there, Raila is not made to account for his words.
In the debate, Uhuru can easily box him in a corner, kwa sababu mengi anayosema ni uongo mweupe.