Mdahalo wa wagombea urais wabaki kuwa kati ya Raila na Uhuru


Yeye mwenyewe hata hiyo English haijui, sasa aliwapima vipi.
 

Shida kubwa ya Raila itakuwa kudefend zile statements amekuwa akitoa kwa rallies. Kwa sababu nyingi ni uongo

Mfano anasema ati serikali yake na Kibaki ilipanga SGR kwa bei ya Sh227 billion, na Jubilee imeiba Sh100 billion.
ilhali archives zinaonyesha kwamba grand coalition ilipanga SGR kwa bei ya Sh340 billion.

Fact Check: Was Sh100 Billion Really Stolen in the SGR Project?

Migomo ya madaktari sana ni swala la governors kwani hao ndio huwalipa. The same thing na nurses.
Ikikuja kwa ufisadi, nadhani Uhuru ata compare and contrast Raila alivyorespond kama waziri Mkuu, na yeye alivyofuta mawaziri.
Nadhani pia ata muuliza Raila kwanini mfisadi mkubwa Kenya kwa jina Evans Kidero alipewa direct nomination na ODM. Kwanini pia Charity Ngilu, waziri aliyefutwa na Uhuru kwa ufisadi, amekaribishwa Nasa.
Kwanini pia Raila alikimbia Kilifi kumtetea gavana Kingi aliyekuwa mashakani kwa ufisadi.

In short, Uhuru has enough material to respond to Raila's attacks on corruption.

La mwisho, Raila atatakiwa apeane proof kwamba cost of living (unga) imepanda kwa sababu ya corruption wala sio drought. Na aseme vile realistically atashukisha rent kwa siku 90.
Out there, Raila is not made to account for his words.
In the debate, Uhuru can easily box him in a corner, kwa sababu mengi anayosema ni uongo mweupe.
 
Mimi nipo hapa Radisson Blue!

Dirisha langu linatazama huu upande. Picha nimechukua jioni leo.



 
Ila haipendezi kuwatoa wagombea wengine. Nakumbuka kipindi kilichopita kuna yule mwalimu alitia fora sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…