Anasema baada ya kuona watu wa Kilombero wana raslimali nyingi lakin i Kilombero ni Maskini sana, baada ya kutafakari akagundua kwamba Tatizo ni Uongozi, anaelezea kupanda kwa ghara za maisha hasa bei ya sukari ambako kiwando kiko Kilombero, anaelezea tatizo la Umeme pamoja na Kilombero kuwa na Vinu wiwili vya kutengeneza Umeme