Elections 2010 Mdahalo wa Wagombea vijana Movenpik 25/09/2010

Elections 2010 Mdahalo wa Wagombea vijana Movenpik 25/09/2010

Dr. Faustine toka CCM hajaingia mpaka sasa ha ha ha kaaazi kwelikweli
 
Angalua huyu jamaa wa CUF aliyeingia sasa ni kijana kidogo
halafu mbona CUF wanamtegea Mtatiro? au ndo kama Hamad Rashid alivyokuwa akiwabeba bungeni? CUF leteni watu compitent jamani
 
Zamu ya cuf, mtatiro asema, madini na rasilimali zote ni ujanja tu madini kuibiwa madini, wao wataanza upya sheria ya madini, wawekezaji wakora waafukuzwa wote
 
Suala la mwisho ni suala la Muungano... Jenerali anajitahidi sana kwenye kuuendesha mdahalo huu
 
Naona Zitto kakosa sera mana anaongea mambo yaleyale ya kawaida
Je ilani ya chadema haijui?
 
Suala la Muungano, Cuf wasema, serikali tatu, bara na zanzibar. lengo kuweka uwiano sahihi kati ya pande mbili hizi
 
Kusema kweli muda ni mdogo sana kulingana na ambacho tungependa kusikia toka kwa wanasiasa hawa, ITV watusaidie watanzania waongeze muda ikibidi (kama ndo wanahusika) ili wahusika wajieleze kwa kina na tupate kuwaelewa vema,
 
So CCM mpaka sasa wamekula kona, kuna mjumbe mwingine wa CUF ameingia
 
Zitto anataka kufunja muungano??
anataka mafuta wazanzibar wale pake yao wajitenge??
 
Naona Zitto kakosa sera mana anaongea mambo yaleyale ya kawaida
Je ilani ya chadema haijui?
Mkuu acha kuwa bias na kusahau kumsikiliza vema. Unaupotosha umma kwa kumsakizia. Kumbuka wengi tunaangalia (tupo Tanzania) hivyo si vema kuspin.

Zitto alikuwa anaongea kwa kusema "CHADEMA tuta...." sawa na wale wengine wa CUF.
 
Chadema, Zitto, asema muungano ni tunu. hakueleza vizuri serikali ni ngapi, ila kwenye ilani yao serikali ni tatu pia. ila kero ya muungano watalitatua,ikiwemo suala la mafuta itakuwa ya zanzibar
 
Wakati wa maswali

Mikakati kuhusu ajira na maboresho ya maisha ya vijana
 
Mtatiro asema, anaamini ajira zipo, wao ni mwarobaini, vyuo vya ufundi nchi nzima, ajira zitatoka hapo
 
John myika, asema kuna mabo kadhaa, miundombinu, kupanua viwanda kwa wenye elimu, ila wasio na elimu watapew mtaji ili wajitegemee
 
namuona richard kasesera kada wa ccm .kwa nini asiwakilishe ccm
 
Swali la pili, maswala ya afya. watafanyaje wakiwachagua? Myikaka chadema, asema suala hospitali ya mwananyamala analifahamu, wakimchagua atalipeleka bungeni ili iboreshwe, Mtatiro asema afya bure, na zahanati kwa wingi kama wakiingia madarakani
 
Back
Top Bottom