Uchaguzi 2020 Mdahalo yes, kutumia wasanii ni NO!

Uchaguzi 2020 Mdahalo yes, kutumia wasanii ni NO!

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,136
Reaction score
32,268
Hello JF,

At least mdahalo unawapima Wagombea nafasi hivyo kumsaidia ama kumjulisha mpiga kura yupi anafaa kwa maoni yake.

Sasa hatuelewi hili la kutumia wasanii, lina lengo gani haswaa?

Tunaomba chaguzi zijazo mdahalo uwepo/uongezwe kwenye protokoli za kampeni za Uchaguzi.

Na kutumia wasanii kuondolewe.

Process zote ambazo hatujui lengo lake ni nini haswa, zitolewe tu.

Binafsi kutumia wasanii kwenye kampeni kwa Serikali ambayo imemaliza muda wake, si sawa.

No, it is not a campaign stratergy.

Sending message that this artist is endorsing Magufuli.

Is like attracting their fans.

Who (some) are in Millions.

Is this not a bribe?

Hapana kwa kweli,

there should be a fair play.

Wagombea wote wawekwe kwenye mizani moja, waanze wote moja.
 
Magufuli hana uelewa mkubwa wa kwenda kwenye mdahalo. Kipindi cha dk 45 tu cha ITV kakikimbia kamtuma Bashiru!! Alafu kuna mitanzania inasema Eti Magufuli anatosha!!! Shenzi kabisa!!
 
Back
Top Bottom