Prince mrema
Member
- Oct 11, 2017
- 61
- 72
Halafu inakuaje sasa litalipwaje na mdaiwa amefungwaDeni linaweza kukufunga ukishindwa kulipa
SinaUza ulichonacho ulipe deni
Ndiyo. Deni linakufunga.Habari wanajukwaa.kuna deni la kiasi flan ivi cha pesa linanisumbua.nilipelekwa mahakamani.nikapangiwa kurejesha kias flani ivi kwa muda niliopangiwa sasa kila ikifika tarehe niliyopangiwa naenda na kiasi pungufu.na hakimu hua ananiambia kila siku nitakuandikia kifungo mpaka ndugu zako walipe ndo utatoka.hii imekaaje wadau.
kuna thread imejadiliwa kuhusu suala lako,ukipata muda pitia humu utakuta,ilikuwa na title hiiHabari wanajukwaa.kuna deni la kiasi flan ivi cha pesa linanisumbua.nilipelekwa mahakamani.nikapangiwa kurejesha kias flani ivi kwa muda niliopangiwa sasa kila ikifika tarehe niliyopangiwa naenda na kiasi pungufu.na hakimu hua ananiambia kila siku nitakuandikia kifungo mpaka ndugu zako walipe ndo utatoka.hii imekaaje wadau.
Kama hakamilishi alichoamriwa inakuwaje?Kama umeamliwa ulipe kidogokidogo hapo huwez kufungwa,..ila Jitahidi ulipe tu maden ya watu ndugu
Nyie ndo mnasababishaga watu wawe na roho mbaya..!! Hivi unadhani, huyo unayemsumbua hadi amekufikisha mahakamani, atatoa mkopo kwa mtu mwingine..!!??? KUNA WATU TUNAWALAUMU WANA MATABIA MAGUMU YA KUTOSAIDIA WATU KWA MIKOPO, kumbe kuna makenge yamewasabababishia wawe na tabi hizo..!! Halafu hapa ukute unauharibia mtani kuwa kakufikisha mahakamani..!! WE FUNGWA TU YAISHE BANAA..Habari wanajukwaa.kuna deni la kiasi flan ivi cha pesa linanisumbua.nilipelekwa mahakamani.nikapangiwa kurejesha kias flani ivi kwa muda niliopangiwa sasa kila ikifika tarehe niliyopangiwa naenda na kiasi pungufu.na hakimu hua ananiambia kila siku nitakuandikia kifungo mpaka ndugu zako walipe ndo utatoka.hii imekaaje wadau.
Kabebe zege..!! Kalime mashamba ya watu..!!Sina
Anafungwa, akimaliza kifungo anaendelea kulipa.Halafu inakuaje sasa litalipwaje na mdaiwa amefungwa
š¤£Unatujibu sisi au hakimuSina
Dani linaweza kukufunga, ikiwa mdaiwa imethibitika nikweli unadaiwa na unauwezo wakulipa ila hutaki kulipa kwa makusudi.Habari wanajukwaa.kuna deni la kiasi flan ivi cha pesa linanisumbua.nilipelekwa mahakamani.nikapangiwa kurejesha kias flani ivi kwa muda niliopangiwa sasa kila ikifika tarehe niliyopangiwa naenda na kiasi pungufu.na hakimu hua ananiambia kila siku nitakuandikia kifungo mpaka ndugu zako walipe ndo utatoka.hii imekaaje wadau.
Jinga sana.hiyo siyo kauli.Nyie ndo mnasababishaga watu wawe na roho mbaya..!! Hivi unadhani, huyo unayemsumbua hadi amekufikisha mahakamani, atatoa mkopo kwa mtu mwingine..!!??? KUNA WATU TUNAWALAUMU WANA MATABIA MAGUMU YA KUTOSAIDIA WATU KWA MIKOPO, kumbe kuna makenge yamewasabababishia wawe na tabi hizo..!! Halafu hapa ukute unauharibia mtani kuwa kakufikisha mahakamani..!! WE FUNGWA TU YAISHE BANAA..