Mdaiwa anafungwa?

Mdaiwa anafungwa?

Prince mrema

Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
61
Reaction score
72
Habari wanajukwaa.kuna deni la kiasi flan ivi cha pesa linanisumbua.nilipelekwa mahakamani.nikapangiwa kurejesha kias flani ivi kwa muda niliopangiwa sasa kila ikifika tarehe niliyopangiwa naenda na kiasi pungufu.na hakimu hua ananiambia kila siku nitakuandikia kifungo mpaka ndugu zako walipe ndo utatoka.hii imekaaje wadau.
 
Kama umeamliwa ulipe kidogokidogo hapo huwez kufungwa,..ila Jitahidi ulipe tu maden ya watu ndugu
 
Habari wanajukwaa.kuna deni la kiasi flan ivi cha pesa linanisumbua.nilipelekwa mahakamani.nikapangiwa kurejesha kias flani ivi kwa muda niliopangiwa sasa kila ikifika tarehe niliyopangiwa naenda na kiasi pungufu.na hakimu hua ananiambia kila siku nitakuandikia kifungo mpaka ndugu zako walipe ndo utatoka.hii imekaaje wadau.
Ndiyo. Deni linakufunga.

Mahakama ikishaweka utaratibu wa wewe kulipa, ufanye hivyo. Ukishindwa basi mahakama itapiga mnada baadhi ya mali zako kufidia deni husika.

Kama itashindikana basi utaenda jela. Nduguzo wakilipa, siku hiyo hiyo unaachiwa.
 
Habari wanajukwaa.kuna deni la kiasi flan ivi cha pesa linanisumbua.nilipelekwa mahakamani.nikapangiwa kurejesha kias flani ivi kwa muda niliopangiwa sasa kila ikifika tarehe niliyopangiwa naenda na kiasi pungufu.na hakimu hua ananiambia kila siku nitakuandikia kifungo mpaka ndugu zako walipe ndo utatoka.hii imekaaje wadau.
kuna thread imejadiliwa kuhusu suala lako,ukipata muda pitia humu utakuta,ilikuwa na title hii

Naomba Ushauri na Maelekezo: Jinsi ya Kusuluhisha Kesi ya Madai ya Kubumb​

Habari wanajukwaa.kuna deni la kiasi flan ivi cha pesa linanisumbua.nilipelekwa mahakamani.nikapangiwa kurejesha kias flani ivi kwa muda niliopangiwa sasa kila ikifika tarehe niliyopangiwa naenda na kiasi pungufu.na hakimu hua ananiambia kila siku nitakuandikia kifungo mpaka ndugu zako walipe ndo utatoka.hii imekaaje wadau.
Nyie ndo mnasababishaga watu wawe na roho mbaya..!! Hivi unadhani, huyo unayemsumbua hadi amekufikisha mahakamani, atatoa mkopo kwa mtu mwingine..!!??? KUNA WATU TUNAWALAUMU WANA MATABIA MAGUMU YA KUTOSAIDIA WATU KWA MIKOPO, kumbe kuna makenge yamewasabababishia wawe na tabi hizo..!! Halafu hapa ukute unauharibia mtani kuwa kakufikisha mahakamani..!! WE FUNGWA TU YAISHE BANAA..
 
Dawa ya deni ni kulipa

Unaposhindwa kutii amri halali ya mahakama (kulipa deni) kinachofuata ni jela

Lipa deni la watu mkuu
 
Habari wanajukwaa.kuna deni la kiasi flan ivi cha pesa linanisumbua.nilipelekwa mahakamani.nikapangiwa kurejesha kias flani ivi kwa muda niliopangiwa sasa kila ikifika tarehe niliyopangiwa naenda na kiasi pungufu.na hakimu hua ananiambia kila siku nitakuandikia kifungo mpaka ndugu zako walipe ndo utatoka.hii imekaaje wadau.
Dani linaweza kukufunga, ikiwa mdaiwa imethibitika nikweli unadaiwa na unauwezo wakulipa ila hutaki kulipa kwa makusudi.

mdai anapaswa kuthibitisha Hilo mahakamani kuwa anakudai na kwamakusudi hutaki kulipa deni.

gharama za chakula na matumizi mengine yatakuwa juu ya mdai kukutunza kipindi chote utakachokuwa gerezani. Kifungo kitakoma pale utakapo kubali kulipa.

Hivyo kunawakati deni linaweza kukufunga.

NB: LIPA DENI ILI KUENDELEZA UHUSIANO MZURI NA WANAOKUKOPESHA SHIDA HAZIISHI.
 
Nyie ndo mnasababishaga watu wawe na roho mbaya..!! Hivi unadhani, huyo unayemsumbua hadi amekufikisha mahakamani, atatoa mkopo kwa mtu mwingine..!!??? KUNA WATU TUNAWALAUMU WANA MATABIA MAGUMU YA KUTOSAIDIA WATU KWA MIKOPO, kumbe kuna makenge yamewasabababishia wawe na tabi hizo..!! Halafu hapa ukute unauharibia mtani kuwa kakufikisha mahakamani..!! WE FUNGWA TU YAISHE BANAA..
Jinga sana.hiyo siyo kauli.
 
Back
Top Bottom