Nchi huru na tajiri kwanini itembeze bakuli?Ni ukosefu wa akili.
Salaam!
Maskini ,mnyonge anayedaiwa huwa mnyonge .
Sasa maskini jeuri badala ya kulipa trillion 108 unazodaiwa, unatoka kuanza kumkoromea anayekudai kwamba " we nae kati ya wenye pesa nawe umo"?
Uliona wapi hii?
happ ulipoona wewe ndipo tumeonaSalaam!
Maskini ,mnyonge anayedaiwa huwa mnyonge .
Sasa maskini jeuri badala ya kulipa trillion 108 unazodaiwa, unatoka kuanza kumkoromea anayekudai kwamba " we nae kati ya wenye pesa nawe umo"?
Uliona wapi hii?
Akifikishwa lupango, hugeuka kuanza kumbembelleza mkopeshaMasikini jeuri
Wasitoe pesa,View attachment 3510764
Ni muhimu kwa nchi za Afrika kuwa na ufahamu wa kina kuhusu masilahi ya nchi za kigeni na jinsi yanavyoweza kuathiri mchakato wa kisiasa na kijamii. Kujenga uwezo wa ndani, kuimarisha demokrasia, na kuendeleza elimu ya raia kunaweza kusaidia katika kupunguza athari za matumizi mabaya ya wanaharakati na kuimarisha uhuru wa ndani. Aidha, ni muhimu kwa nchi za Afrika kuunda sera zinazolinda masilahi yao na kuhakikisha kwamba rasilimali zao zinatumika kwa faida ya wananchi wao. #TANZANIA #SIASA
Salaam!
Maskini ,mnyonge anayedaiwa huwa mnyonge .
Sasa maskini jeuri badala ya kulipa trillion 108 unazodaiwa, unatoka kuanza kumkoromea anayekudai kwamba " we nae kati ya wenye pesa nawe umo"?
Uliona wapi hii?
Kupanga ataka, ila mashart hataki.Hizi ni sawa na zile story za Wapangaji Sinza wanaojaribu kuishi maisha ya kifahali kuliko baba mwenye nyumba.
Ukionbwa ulipe deni unajibu Nina watoto,Ningekuwa si mlipaji asingenikopesah zote hizo....!
Ninakopa tena ninalipa kwa RIBA KUBWA yenye MASHARTI MABAYA....! ila kwa sababu huwa nina shida huwa nakopa na kulipa...!
ASINIPANGIE NIISHI MAISHA GANI kwa sababu tu kanikopesha,,,!
HUKU KUNAITWA KUJITAMBUA...!
Anapiga hodi kukudai, unatoka kumtukana Ili majirani wakuone una pesa,
Kisha unamfuata nyuma ukimbembeleza utop up mkopo.
Kwa viongozi Hawa, hatutofika,
Dola ya Kushi itajengwa na viongozi wenye maono aina ya Askofu Gwajima.
Yaani utumie pesa ya mkopo kinyume na lengo kuu,View attachment 3510764
Ni muhimu kwa nchi za Afrika kuwa na ufahamu wa kina kuhusu masilahi ya nchi za kigeni na jinsi yanavyoweza kuathiri mchakato wa kisiasa na kijamii. Kujenga uwezo wa ndani, kuimarisha demokrasia, na kuendeleza elimu ya raia kunaweza kusaidia katika kupunguza athari za matumizi mabaya ya wanaharakati na kuimarisha uhuru wa ndani. Aidha, ni muhimu kwa nchi za Afrika kuunda sera zinazolinda masilahi yao na kuhakikisha kwamba rasilimali zao zinatumika kwa faida ya wananchi wao. #TANZANIA #SIASA
Yaani utumie pesa ya mkopo kinyume na lengo kuu,
Utumie pesa ya mkopo kununulia bunduki kutisha wanao badala ya kujijenga kiuchumi,
Ukiulizwa unaanza matusi,
Kwamba usinipangie,
Na usivyo na aibu, background,unabembeleza ukopeshwe Tena kwa top up!
Mdai ashikilie hapo hapo.
Maskini jeuri.Foreign minister alishasema "We will not starve 🤣"