Ameuliza kwamba,Kwahiyo Mkuu mtu akiwa anakudai 10K na hujamlipa akaja akakushika makalio utachekelea au sio kwa sababu anakudai
hakuna siku nimeombwa kulipa deni nikagoma....... tena bado nina sifa za kukopesheka na huwa ananifata kuniomba anikopeshe zaidi...!Ukionbwa ulipe deni unajibu Nina watoto,
Wachukue hao tumalizane.
Loh!
Tajiri hakopi, hukopesha.hakuna siku nimeombwa kulipa deni nikagoma....... tena bado nina sifa za kukopesheka na huwa ananifata kuniomba anikopeshe zaidi...!
Shida yake kubwa ni kwa kuwa tu ananikopesha basi anataka kupanga mpaka vyombo vilivyopo sebuleni kwangu....!
YEYE ADILI NA MIKOPO YAKE BAAAAASI!
MBONA huwa nakopa kwa PONJOLO KANJIBHAI, nakopa kwa yule MCHINA pale Magomeni MR. BRUCE LEE wao huwezi kusikia chochote zaidi uwalipe deni lao......
SHIDA NI HUYU MWAJUMA NDALA NDEFU, ... akikukpoesha anakuja na KIGOMA CHA URUGWAI .......
TAJIRI HAFANYI NINI????????Tajiri hakopi, hukopesha.
Maskini jeuri!
Tajiri hakopi, hukopesha.
Maskini jeuri!
Tajiri hakopi,TAJIRI HAFANYI NINI????????
Tafuta deni la USA, tafuta deni la MO GSM,
Hapo kidogo msomi umepitiwa, lakini si vibaya NEXT TIME utaweka sawa...!
je TAJIRI ANAKOPA AU HAKOPI?
Tukiulizwa tuna mmkakati upi wa kulipa deni;Tuna mikataba ya kimataifa zaidi ya 100 ukiachilia mbali ile ya haki za binadamu.
Uamuzi huu wa kujitenga rasmi na Ulaya soon tutapata matokeo yake.
Mwarabu, mchina na Mrusi kamwe si watu wa kutegemea - sasa sisi wa hali ya chini ndiyo tutaisoma number vilivyo.
Kutopa shehena baharini hakukuzuia meli kutaka kuzama,Huyu mzanzibar lengo lake ni kutuacha pabaya.
Hana masrahi yoyote na Tanganyika yetu ndo maana anatuua kama nzige na sasa anatuharibia hadi kwa wahisani.
Wakulaumiwa ni hao tuliowapa dhamana ya kulinda Nchi yetu.
Wasomi wazima na majemedari wetu wamekubali kulambishwa asali na kakikundi ka wajinga wachache.
Huyu samuya alitakiwa afurumshwe haraka na mapema sana.
Leo hii mzanzibar aliyepo Tanganyika ukimwambia arudi kwao unguja anakataa katakata bila wasiwasi.
Wakati huo mtanganyika aliyepo unguja, anaishi bila amani na ukimtisha kidogo tu kuhusu kurudi bara, hana nguvu na anafanya kazi zake bila amani.
Wazanzibar ni wabinafsi sana na hawatuthamini.
Ni muda sasa wa kuwatimua warudi kwao. Wanafuja raslimali zetu bure huku wakituona sie mazumbukuku.
Amezikodisha mkataba wa milele DP worldKukopa unataka, ila hutaki mashart!
Unadai umebarikiwa raslimali nyingi, unasahau kuwa elimu ya kuzibadili raslimali kuwa pesa haipo,
Imekaaje hii?
Kutopa shehena baharini hakukuzuia meli kutaka kuzama,
Hadi pale walipomtosa Yona mmoja tu baharini,
Kukawa shwari.
Yona atoswe