Mdalasini hupunguza uzito, unene na mafuta mwilini

amanimaendeleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2015
Posts
251
Reaction score
75
Kuna jamaa yangu ameniambia ametumia magamba ya mdalasini ndani ya wiki moja mpaka wiki mbili akapungua kilo tatu. Hivyo nimeona Ni shirikishe wengine wenye shida ya kupungua uzito na mafuta.
 
Tehehe hehe, mtakuja kuua watu siku moja.
 
Kuna jamaa yangu ameniambia ametumia magamba ya mdalasini ndani ya wiki moja mpaka wiki mbili akapungua kilo tatu. Hivyo nimeona Ni shirikishe wengine wenye shida ya kupungua uzito na mafuta.

Kwa hiyo kila unachosikia na kuambiwa basi nawe unawaambia wengine si ndio?
 
Back
Top Bottom