jose1denis
Member
- May 18, 2014
- 16
- 4
asali ipo kwenye headingHeading inasema mdalasini na asali lakini content inaelezea mchanganyiko wa maji na mdalasini, asali iko wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hayaasali ipo kwenye heading
Chekecha mkuu kama ni madin flani yapo ndan yana nguvu ya aina gan tuyajue sio tu tunabugiaNipoooo, nimetuama.
Hakika mkuu namimi nina shakaHiyo kitu ni sawa na Viagra.
Unajua Aliyemnukiu akisema Unaweza Ishi Miaka Mia inabidi yeye awe na Research Article yenye mechanism,na contents zinazosema mdalasini na Asali zinarefusha maisha.. Kama Hakuna Basi Hizo ni biashara tu"Nanukuu
Unaweza kuishi mpaka miaka mia kwa kutumia mdalasini na asali. Matayarisho vijiko 4 vikubwa vya mdalasini changanya kwenye maji vikombe 3 koroga kwa dakika 10 kunywa robo kikombe mara 3 au 4 kwa ck"
Najua humu kuna watu logic sana mimi ctak siasa ya wanasayansi wanaendesha uchunguz na kushaur afya huku wana vitambi na obesity.
Swali langu ni kuhusu mechanisim ya mdalasin au content zake zenye kufanya miujiza hyo nakivip hufanya (mechanism).
Twende na fact
Mdalasini Aka(Cinnamon) ni Sumu ukimpa mbwa anaweza kufa kwa dakika 10 tu.Ushahidi angalia video hii hapa chini."Nanukuu
Unaweza kuishi mpaka miaka mia kwa kutumia mdalasini na asali. Matayarisho vijiko 4 vikubwa vya mdalasini changanya kwenye maji vikombe 3 koroga kwa dakika 10 kunywa robo kikombe mara 3 au 4 kwa ck"
Najua humu kuna watu logic sana mimi ctak siasa ya wanasayansi wanaendesha uchunguz na kushaur afya huku wana vitambi na obesity.
Swali langu ni kuhusu mechanisim ya mdalasin au content zake zenye kufanya miujiza hyo nakivip hufanya (mechanism).
Twende na fact
Mkuu MziziMkavu ,una maana gani? Fafanua, hiyo video inamikwaruzo sana haisikkii vizuri.Mdalasini Aka(Cinnamon) ni Sumu ukimpa mbwa anaweza kufa kwa dakika 10 tu.Ushahidi angalia video hii hapa chini.