Mdalasini na asali vyanitatiza

Mdalasini na asali vyanitatiza

jose1denis

Member
Joined
May 18, 2014
Posts
16
Reaction score
4
"Nanukuu
Unaweza kuishi mpaka miaka mia kwa kutumia mdalasini na asali. Matayarisho vijiko 4 vikubwa vya mdalasini changanya kwenye maji vikombe 3 koroga kwa dakika 10 kunywa robo kikombe mara 3 au 4 kwa ck"
Najua humu kuna watu logic sana mimi ctak siasa ya wanasayansi wanaendesha uchunguz na kushaur afya huku wana vitambi na obesity.
Swali langu ni kuhusu mechanisim ya mdalasin au content zake zenye kufanya miujiza hyo nakivip hufanya (mechanism).
Twende na fact
 
Mkuu me sijui kisayansi ila ni kweli hasa kwa wale wenzangu wa kimoja chali inawafaa sanaaaaaa
 
Ninyi waganga wa kizazi cha sanitarium!! ninyi mtawafanya watu wabadilike kuwa pilau kwa kubwagia viungo. Hakuna lolote!!!!!?
 
Hujasema asali inawekwaje na pia hujasema inatumiwa kila siku au ni kwa siku ngapi
 
Heading inasema mdalasini na asali lakini content inaelezea mchanganyiko wa maji na mdalasini, asali iko wapi?
 
Pia wanasema huu mchanganyiko unaondoa kitambi. ...
 
Nimenukuu kama ilivyo ila nahc hayo maji itabidi iwe asali
Na watu wanaamin sana hiyo mambo

Mi cjui waligunduaje bila kupima content zake na kujua zinapambana vp
 
"Nanukuu
Unaweza kuishi mpaka miaka mia kwa kutumia mdalasini na asali. Matayarisho vijiko 4 vikubwa vya mdalasini changanya kwenye maji vikombe 3 koroga kwa dakika 10 kunywa robo kikombe mara 3 au 4 kwa ck"
Najua humu kuna watu logic sana mimi ctak siasa ya wanasayansi wanaendesha uchunguz na kushaur afya huku wana vitambi na obesity.
Swali langu ni kuhusu mechanisim ya mdalasin au content zake zenye kufanya miujiza hyo nakivip hufanya (mechanism).
Twende na fact
Unajua Aliyemnukiu akisema Unaweza Ishi Miaka Mia inabidi yeye awe na Research Article yenye mechanism,na contents zinazosema mdalasini na Asali zinarefusha maisha.. Kama Hakuna Basi Hizo ni biashara tu
 
"Nanukuu
Unaweza kuishi mpaka miaka mia kwa kutumia mdalasini na asali. Matayarisho vijiko 4 vikubwa vya mdalasini changanya kwenye maji vikombe 3 koroga kwa dakika 10 kunywa robo kikombe mara 3 au 4 kwa ck"
Najua humu kuna watu logic sana mimi ctak siasa ya wanasayansi wanaendesha uchunguz na kushaur afya huku wana vitambi na obesity.
Swali langu ni kuhusu mechanisim ya mdalasin au content zake zenye kufanya miujiza hyo nakivip hufanya (mechanism).
Twende na fact
Mdalasini Aka(Cinnamon) ni Sumu ukimpa mbwa anaweza kufa kwa dakika 10 tu.Ushahidi angalia video hii hapa chini.

Studies have proven that it possesses anti-aging, and cardioprotective function.
 
Cinnamon possess a wide range of pharmaceutical actions and biological functions and has great importance in the use of medicine and also used for treating various clinical conditions. They exhibit significant pharmacokinetic activity due to its rapid absorption and metabolism in the body. Cinnamons have a significant effect on physiological, bacteriostatic and anti-tumor activity.
 
Back
Top Bottom