Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ili kukabiliana na Joto kali la Dar es salaam, Mtu mmoja mwema ambaye jina lake linahifadhiwa ili wasimdhuru, amejitokeza kwenye viunga vya Mahakama kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi akiwa na Fuso lililojaa maji ili kuwapa maji ya kunywa watu wote wanaohudhuria kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu.
Huduma hii mpya imeelezwa kwamba itaendelea kutolewa hadi kesi hii itakapoisha, hata kama itachukua miaka mitano.
Hakuna Masharti yoyote wala kikomo cha idadi ya chupa, wewe beba yanayokutosha halafu ingia mahakamani.