Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Tatizo la wema kuoza huanzia pale mtu aliyetumia hiyo zawadi atapopata madhara ya kiafya baada ya kutumia.Ili kukabiliana na Joto kali la Dar es salaam, Mtu mmoja mwema ambaye jina lake linahifadhiwa ili wasimdhuru, amejitokeza kwenye viunga vya Mahakama kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi akiwa na Fuso lililojaa maji ili kuwapa maji ya kunywa watu wote wanaohudhuria kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu.
Huduma hii mpya imeelezwa kwamba itaendelea kutolewa hadi kesi hii itakapoisha, hata kama itachukua miaka mitano.
Hakuna Masharti yoyote wala kikomo cha idadi ya chupa, wewe beba yanayokutosha halafu ingia mahakamani.
View attachment 2015124
Yataanza maswali: "ulipata wapi kibali cha kutoa huduma hiyo kwa raia?"
"Bidhaa hizo zilithibitishwa na mamlaka gani kama zinafaa kwa matumizi ya binadamu?"
"Expire date yake inasomekaje?"
Pamoja na maswali mengine kibao ya reja reja kuulizwa, hautauliziwa barabarani, bali utaulizwa ukiwa tayari umeshang'ang'aniwa ndani.
Sent using Jamii Forums mobile app