Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Unateseka?Hiyo inasaidia chochote kuhusiana na uamuzi wa hilo shauri husika?
Ndio ukomo wa kufikiri umefikia hapo?Kuwahonga raia wajae mahakani ili kumtishia jaji [emoji854][emoji56]
Unamaanisha nini ?Wajinga ndiyo waliwao mbowe na ccm na serikali damu damu kalelewa huko leo eti wamshitaki kwa lipi hasa kama siyo kuwageuza ubongo wananchi?
Watu sijui watakuwa na akili za kujiongeza lini?
Sina hata sababu moja ya kuteseka,pole sana kama nimekukera.Unateseka?
Kwa tabu sana,bado hawaaminiChawa wa Mcha mungu Magufuli , hivi mnaishije sasa ?
Hahahah relaxSina hata sababu moja ya kuteseka,pole sana kama nimekukera.
Itakufaa nini wewe..?Maigizo, subirini hamtasadiki hiyo siku!!!
Shetani alie kuzimu au alie hai?maana walikuwa 2Huyu shetani atakuwa anaona aibu sana
OhoooooShetani alie kuzimu au alie hai?maana walikuwa 2
Vyovyote mkuuShetani alie kuzimu au alie hai?maana walikuwa 2