Mdau ana postgraduate ya procurement na advance diploma ya computer science anasaka ajira

Doyi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2011
Posts
1,578
Reaction score
1,894
Heshma kwenu wadau.Kwa yeyote mwenye nafas katka kampuni,shirika,NGO,hotel au sehemu yeyote anayoweza kufiti mdau huyu naomba msaada wenu mdau mwenzetu atoke mtaani akapige kaz katka sekta zilizotajwa hapo juu.Kwa mawasiliano namba yake ni0713806161.Asanteni na Mungu awabariki
 
Ni wewe au mdau mwingne?

Hapa tunatumia vivuli na syo majina yetu halisi kwa hyo sina unafiki wa kusema ni mwingine kama ningekuwa ni mimi.binafsi nshapata mchongo kupitia Hapa Jf(ALHAMDULILLAH) maisha yanaenda.Huyo ni mdau mwenzangu nae anawinda.Asante
 
Heshma kwenu wadau.Kwa yeyote mwenye nafas katka kampuni,shirika,NGO,hotel au sehemu yeyote anayoweza kufiti mdau huyu naomba msaada wenu mdau mwenzetu atoke mtaani akapige kaz katka sekta zilizotajwa hapo juu.Kwa mawasiliano namba yake ni0713806161.Asanteni na Mungu awabariki

mdau mimi nakushauli akapply chuo kukuu udsm pale ucc wanaanzisha branch mbezi beach ya wireless na mafunzo so nashauli ukapply pale kuna mtu yupo pale ninamfahamu
 
hayo mafunzo yanaanza lini? If possible mchek jamaa kwa namba yake umkonect na huyo mdau unaemfahamu.Asante kwa ushauri
 
Back
Top Bottom