Elimu ina matabaka ya uelewa kwasababu kamwe hatuwezi kuwa sawa kiufahamu mfano elimu za Dini hakuna neno ambalo halina zaidi ya maana moja na uelewa wa Elimu za Dini inategemea na ukaribu wa Msomaji na Mungu au Imani anayoiamini. Kwa Upande wa Vitabu vya maarifa hata vikitafsiriwa pasina kuvifanyia kazi ni sawa na BureElimu lazima iwe na matabaka siyo lazima kila mtu aipate ndiyo maana ipo competitive in nature, kwa hiyo kwa kuweka kwenye lugha fulani tayari ishafanya auto selection, kuna watu hawatoweza kuelewa.
Ila mambo ya DINI hata mkielewa wote haina shida sababu mwisho wa siku sidhani kama yana mchango mkubwa kwenye maisha ya binadamu
Hata biblia kufasiriwa ilikuwa vita kubwa. Unaiona haina maana lakini makasisi waliokuwa wanaweza kuisoma na kuielewa iliwapa nguvu sana.Elimu lazima iwe na matabaka siyo lazima kila mtu aipate ndiyo maana ipo competitive in nature, kwa hiyo kwa kuweka kwenye lugha fulani tayari ishafanya auto selection, kuna watu hawatoweza kuelewa.
Ila mambo ya DINI hata mkielewa wote haina shida sababu mwisho wa siku sidhani kama yana mchango mkubwa kwenye maisha ya binadamu
Na hata Wagiriki wenyewe walitafsiri maarifa ya Misri na kwenda kusoma Misri kwa miaka mingi. Wakayaweka maarifa hayo katika lugha zao. Watu wengi wakayaelewa.Toka zamani kulikuwa na Utaratibu wa Tawala kubwa za Kidunia Kutafsiri Maarifa katika Lugha zao ili kukuza maarifa na kuyasambaza kwa Lugha zao mpaka Walatini walivyotafsiri kutoka kwa Waarabu kuja kilatini na kujimlilikisha Maarifa yote mpaka kufikia watu wakiamini Walatini ndio wagunduzi wa Maarifa. Hata hawa waarabu walitafsiri Maarifa kutoka Ugiriki ya Zamani, India , Persia n.k na hiyo ilipelekea Waarabu kuendelea katika kila nyanja katika kipindi cha Mediavel Age hii ni kabla ya Renaissance Age.