mzigo wa sido huu ๐๐ lazima amletee mwenzie zinaa la tetenasiSi angeagiza za kichina jamani, hiyo mbona kama kaitoa kwa fundi welding
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃmzigo wa sido huu ๐๐ lazima upate amletee mwenzie zinaa la tetenasi
heeee kumbe sido wanatengeneza vitu ka hizo chaaa
Ukajuaje kazi yake?๐navionaga๐๐๐
Mnateseka sana wanangu, poleni
Mdomo unaweza kukaa kimya lkn moyo unapiga kelele๐Mwezi mtukufu huu wacha nikae kimya..
๐คฃ
Amuulize yeye ndie mwenye majibu sahihi.
Aache kupekua pochi ya mwanamke wake.
Doh.. marinda yanakaguliwajee Smart??
Nimezuia na moyo wangu ๐Mdomo unaweza kukaa kimya lkn moyo unapiga kelele๐
Aah wapi kijana๐Nimezuia na moyo wangu ๐
Au mpaka niapie?Aah wapi kijana๐