je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 2,022
- 3,919
True story......
Leo katika harakati zangu za kufuatilia cheti cha kuzaliwa cha dogo .Nilienda kibamba hospital nafika nakuta hospital imebomolewa pale na kujengwa nyingine nyumba kule ambapo kuenda ni boda boda ni buku jero.nikachukua boda chap hadi hospital nikaingia hadi reception kuulizia namna ya kupata cheti .Nikaambiwa niende kwa mkuu wa wilaya ,nikatoka chap nje na kuchukua boda nyingine inipeleke kwa wilayan ubungo sasa hapa ndio stories na boda boda zilianzia wakati tunaenda.....
Boda,...ebhana haujui namna ya kujua mtu alipo kwa kutumia simu..?
Mimi....kivipi?
Boda....mchumba wangu ambae naishi nae kaniaga anaenda dodoma na ndugu zake nikamsindikiza lakin hakutaka nifike nae stand mbezi luis kasema atafika tu usijali mume wangu.lakin tangia tumeagana hadi sasa nikipiga simu hapokei....
Mimi.....mmmh hapo mtihani.ila jaribu kuwasiliana na wazazi wake huenda wana lolote la kusema
Boda boda. ....nilipiga simu kwao kuuliza kwamba mwana wenu anakuja huko wakasema hawana taarifa hizo
Mimi.....hapo kuna namna kaka.ila pole ni changamoto za wanawake
Boda boda.......kuna muda nilipiga simu akapokea lakin alikuwa haongei.....
Mimi......ndugu yangu hapo huna mchumba piga chini.lakin pia jaribu kutumia simu ya mtu mwingine ili uone kama atapokea au laa
Boda boda......poa brother! Sasa vipi suala la kujua kama yupo wapi hakuna namna yeyote??
Mimi......labda ujaribu police kuna kitengo cha cyber
Boda boda......polisi sio gharama sana??
Mimi.....sio gharama.
Boda boda......inaniuma sana coz nishatoa barua na kila kitu kwao
Mimi.....ndio maisha mwanangu.
Tukaishia hapo