Mdau anauliza kwanini awe mkali kwa ugomvi wake na mwengine

Mdau anauliza kwanini awe mkali kwa ugomvi wake na mwengine

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Mzazi mtoto wake hata awe mbaya kiasi gani na hamuui, awe shoga, mwizi, jambazi bado asilia 98 ya wazazi hawatowaua watoto wao.

Iweje Mungu wetu wa upendo atuchome sisi watoto wake kwa sababu ya ugomvi wake yeye na shetani?
 
Back
Top Bottom