Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Baby nakupa simu hii ila sitaki ujiunge na magroup ya whatsapp,facebook na mitandao mengine,simu hii ni kwa ajili yangu na ndugu tu.
Ujanja au ushamba?
Ujanja au ushamba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia😃sasa si ununue cm ya mezani tu jamani
Hii nayo ni aina ya ugonjwa wa akili.....Tabu yote hiyo ya nini
Ni kutokujiamni tu, mtu akiamua kucheat hata umfunge camera atacheatHii nayo ni aina ya ugonjwa wa akili.....
Huyu ni mkewe sio binti yake wa kike tena underage