Ntakutafuta mkuu.. Nipo radhi nipande fast jet niwahi hyo ofaKing of table (pork) sio nyama ya mchezo mchezo wazungu wenyewe wanaitambua natoa ofa kwa mwanajamii forum yeyote aliye wilaya ya Nachingwea. Mkoani lindi tutafutane jioni ya Leo baada ya kazi 0783848802 kanisani kwa father makota
dah, fresh tu
Naona sijui hakuna member WA jf around maeneo haya mkuu Ila Ni nouma aisee nimeamua Tu nikamchezee huyu mdudu leoNtakutafuta mkuu.. Nipo radhi nipande fast jet niwahi hyo ofa
KITIMOTO ukiwa unakula huku unasikiliza ZILIPENDWA. Mpaka Ubo.lo unadinda.Rosti shata shata.. Rosti mboga mboga au kavu.. Embu tupe ujuzi wako mdau..Vipi kuhusu viungo.. Unapenda iwekewe viungo au unataka ule ikiwa na ladha yake tukufu?
Acha hizoUnapenda kavu kavu eeeh! 😛
Tegeta maeneo ya Msikitini uliza kwa Bwa. SheeTegeta wapi yapata hii kitu
Unamanisha nn au unataka kuanzisha thread yakoKitimoto ya nguruwe
Napat wapi kitimoto kigamboni
Sehem gan vp isuki, kware Kipo?Mbosho ni balaa
Dar street - Moshi mkuuSehem gan vp isuki, kware Kipo?
Hapana,kitimoto ya kuku!![emoji2] [emoji2] [emoji2]Kitimoto ya nguruwe
Ok ngoja nielekee hapo nikapate nipo hapa kindorokoDar street - Moshi mkuu