M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Asttaghafulilah, tusiharibiane swaum kwa kujadiri haramu mchana wa Ramadhani.Rosti shata shata.. Rosti mboga mboga au kavu.. Embu tupe ujuzi wako mdau..
Usela nyaaHaijalishi yoyote tu. Ila hapa niko namchepuko homu kwangu tunapiga kitu rosti na balimi huku tukisoma ngano na fiksi za mudi kutoka kwenye msaaf
Aisee hiyo kitu sijawahi kulaRosti shata shata.. Rosti mboga mboga au kavu.. Embu tupe ujuzi wako mdau..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haijalishi yoyote tu. Ila hapa niko namchepuko homu kwangu tunapiga kitu rosti na balimi huku tukisoma ngano na fiksi za mudi kutoka kwenye msaaf
Umetisha mkuu
Kitimoto ya maana ipo moshi kibororoni kwa mlomboo
Arusha kuna sehemu panaitwa plan b . Wanatengeneza kavu na kitunguu tu. Ni noumaAu kule Rau kivulini, sijui kama yule mama bado yupo?
UHURU WA KUJIELEZA USIOKUWA NA MIPAKA,KUHESHIMIANA.Au kule Rau kivulini, sijui kama yule mama bado yupo?