Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huogopi ukimwi, mimba?Kavu kavu!!!
We sasa unatafuta kutekwaMimi huwa nafuturu na Kitimoto choma.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] vina uhusiani gani na kitimoto?huogopi ukimwi, mimba?
kitimoto kavu, ila sio kavu kavu[emoji15] [emoji15] [emoji15] vina uhusiani gani na kitimoto?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kitimoto kavu, ila sio kavu kavu
[emoji23]
unanivutia hisia hapo kati ujuee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi napenda kavu kavu bana
Daah! Watu wachonganishi balaa! Hahahahaaa!Mimi huwa nafuturu na Kitimoto choma.
Habari nyingineYa kuoka bwana ni hatari kabisa
Kitu cha kuchoma mkuu, ndiyo napata hapa! KARIBU sana KiongoziRosti shata shata.. Rosti mboga mboga au kavu.. Embu tupe ujuzi wako mdau..Vipi kuhusu viungo.. Unapenda iwekewe viungo au unataka ule ikiwa na ladha yake tukufu?
Mbosho ni balaaKitimoto ya maana ipo moshi kibororoni kwa mlomboo
Ya kuchoma kwa foil tamu acha, kwa wiki lazima nipitie mianzini nipige kilo kadhaa basi burudani kabisaYa kuchoma vipi mkuu
Ramadhan ni yako na ndugu zako. Tuache Wagalatia tunufaike na punguzo la NUSU BEI kwa mwezi huu.Asttaghafulilah, tusiharibiane swaum kwa kujadiri haramu mchana wa Ramadhani.