Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
jaman acheni uchokoziRamadhan ni yako na ndugu zako. Tuache Wagalatia tunufaike na punguzo la NUSU BEI kwa mwezi huu.
mkuu wiki hii niuzie nguruwe 10 tano zaidi yani wale ulioniuzia wiki iliyopita walikuwa swafi
Yakhee wap kitimoto naweza pata hapa forodhan!!!!!!
Mimi huwa nafuturu na Kitimoto choma.
Takbiiiiriii
Innalilahi wa inlailaihi rajiuunRosti shata shata.. Rosti mboga mboga au kavu.. Embu tupe ujuzi wako mdau..Vipi kuhusu viungo.. Unapenda iwekewe viungo au unataka ule ikiwa na ladha yake tukufu?
DaahMimi huwa nafuturu na Kitimoto choma.
Mm tafadhariMbogamboga kwa ndizi weeeeee nan nmtoe dina Leo
[emoji23][emoji23]
............ndio maana tunawatia hamu mkuu?!usiwaze bado 29dy mtarudi kundini hahahah.Kisa tu tumefunga.
Mbaya sana wewe...
Hapana kiongozi hii labda mwenyewe take awayMkuu hawafanyi home delivery hapo..?
Ipungue bei mara mbili kaka?!sasaivi hata muuzaji anakuruhusu kuangalia mzani kama imetosha au lah,pia faster kitu unaletewa mezani maana hana order nyingi!Punguzeni bei, wateja waongezeke.
Yupo sana tu na kafungua branch nyingine pale Karibu na east Africa pub na kindorokoAu kule Rau kivulini, sijui kama yule mama bado yupo?
SawaUnajinyima haki mkuu..
Eti punguzo la nusu bei. ........kwa nini punguzo mwezi huuRamadhan ni yako na ndugu zako. Tuache Wagalatia tunufaike na punguzo la NUSU BEI kwa mwezi huu.