Mdau: Unapenda kula kitimoto ipi?

Mbona wanakula sana na wananunua sana pale Morogoro na kusafirisha Zanzibar na nyingine inaenda Dubai
Aisee
Kwahiyo huwa wanavunga tu kwamba hawatumii mdudu huyu..?
 
Kitu cha kuchoma mkuu, ndiyo napata hapa! KARIBU sana Kiongozi
Nyie watu mnaniua na haya mapicha yenu jamani!!! Na nilivyo na ubaooo... Ukicheki jikoni kuna ugali na majani ya maboga!!! [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Nyie watu mnaniua na haya mapicha yenu jamani!!! Na nilivyo na ubaooo... Ukicheki jikoni kuna ugali na majani ya maboga!!! [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Paprika njoo bibie[emoji4]
 
Kuna kitimoto pande za sinza kwa kamanda sijui kama bado kipo. Kitu rosti kinawekwa pombe kali..konyagi au whisky yoyote. Balaaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…